Vifaranga vilivyoingizwa nchini kinyemela kuteketezwa

Sir With Lovesaid: [URL='https://www.jamiiforums.com/goto/post?id=24254370#post-24254370'] said:
↑[/URL]
Mr Cu, hiyo gharama ya kwenda kupima atailipia nani, na sheria inasemaje?

Nchi za wenzetu kama unaingiza kitu bila utaratibu, hicho kitu hakiendi lab, ni wastage of time and money, kinaenda kuharibiwa moja kwa moja.

Tusichukulie haya mambo kirahisi.


Sawa mkuuu

Na Wakimbizi je?
 
Back
Top Bottom