Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Kwani mnapokula huwa mna wala wazima?Mmh aisee hii roho mbaya sasa kuua viumbe visivyo na hatia bora wavirudishe vilipotoka
Haki za wanyama na ndege wako wapi?
Kwani mnapokula huwa mna wala wazima?
Kwahyo ingekuwa wanachomwa ili waliwe ndo ingekuwa afadhali? .... nyama ya kifaranga ni kama ya ndege tu sisi huku tunakula sana tuHuwa hatuli vifaranga. Na hapo hawachomwi ili waliwe
Bila shaka hata mnabaka watoto pia, maana maumbile yao yanafanana na ya wakubwa tu...mfyuuu!Kwahyo ingekuwa wanachomwa ili waliwe ndo ingekuwa afadhali? .... nyama ya kifaranga ni kama ya ndege tu sisi huku tunakula sana tu
Mkuu Habari ya watoto imekujaje tena huwezi linganisha binadamu na ndege ni vitu viwili tofauti ungetoa mfano unaolingana ningekuelewa zaidiBila shaka hata mnabaka watoto pia, maana maumbile yao yanafanana na ya wakubwa tu...mfyuuu!
Kwahyo ingekuwa wanachomwa ili waliwe ndo ingekuwa afadhali? .... nyama ya kifaranga ni kama ya ndege tu sisi huku tunakula sana tu
Comment yako imejaa maudhi kiasi ungekuwa hapa karibu ningekubaka kabisa. Watu wanaongea kitu serious we unaleta mambo ya hereni poda na hina. We ni wa kike au wa kiume? Ni wapi huko mnakokula vifaranga?Mkuu Habari ya watoto imekujaje tena huwezi linganisha binadamu na ndege ni vitu viwili tofauti ungetoa mfano unaolingana ningekuelewa zaidi
Hapana mkuu sitetei, wao wanachoma kuhofia magonjwa ambukizi kama mafua ya ndege. Ila kama kutakuwa na njia nyingine mbadala wa hiyo wanaweza pia kufunya.Mkuu naona unatetea uhalifu. Vifaranga vyote hivyo kuvichoma kisa kumkomoa mtu haikubaliki
Haki ya hao vifaranga haizidi haki ya binadamuMmh aisee hii roho mbaya sasa kuua viumbe visivyo na hatia bora wavirudishe vilipotoka
Haki za wanyama na ndege wako wapi?
Kwani unajua haki yako hapa duniani?Haki ya hao vifaranga haizidi haki ya binadamu