Vifaranga 5,000 na mayai ya samaki vyakamatwa JNIA

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Serikali yakamata Vifaranga 5000 na mayai ya samaki kutoka nchini Malawi vyenye thamani ya zaidi ya Millioni 20.

Vifaranga hao na mayai ya samaki vimekamatwa katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Wahusika kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Taarifa zaidi zinakuja...
 
#HABARIZAHIVIPUNDE:Serikali yakamata Vifaranga 5000 na mayai ya samaki kutoka nchini Malawi vyenye thamani ya zaidi ya Millioni 20 katika uwanja wa ndege wa Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam, wahusika kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Source: ITV BREAKING NEWS
 
Malizia hii taarifa
 
Vina shida gani kwani?
 
Unakimbizwa?tulia,leta taarifa kamili mkuu!

Ndio maana ikawa ndani ya breaking news sasa unataka akupe na uchambuzi wewe huwezi kuunganisha dots mwenyewe na kuelewa ni kwanini vimezuiliwa hapo uwanjani?Kwa alieko jukwaa hili la great thinkers atakuwa ameshajua waingizaji hawakuwa na kibali/leseni ya kufanya hivyo pamoja na hati kutoka mamlaka ya vilikotoka ikionyesha chanjo ya ndege hao na uzima wa mayai kuepuka kuingiza magonjwa nchini kwetu na sio mara yao ya kwanza hapo uwanjani kupitishwa vitu kama hivyo na lazima wazingatie sheria za nchi kabla ya kuviruhusu kuingia uraiani.Hali hii huhusu hata mimea,mbegu,vyakula n.k.na zipo mamlaka zinazoshughulikia haya viwanja vya ndege,bandarini,railway stations na mipakani kote.Uelewe wala sio kwa vinavyoingia nchini tu ni pamoja na vinavyosafirishwa kupelekwa nchi za nje sheria za kimataifa inazitaka mamlaka za nchi husika kuhakikisha yote niliyoyataja yamezingatiwa kwani bidhaa/mali hizo zinaweza kuamriwa kurudishwa zilikotoka kwa gharama ya mpelekaji.
 
"Ajali imetokea jana watu wawili wamekufa majeruhi sita habari kamili nitakuletea kesho" Ayoub Rioba alisema ukiona mtu anaripoti hivyo ujue yupo analog...
 
Hivyo vifaranga vya nini: Kuku, Bata, Kwale, Kunguru...........;

Mayai ya samaki yamejulikana vipi au ya vyura?
Mkuu funguka tuletee habari iliyo kamili.
 
Back
Top Bottom