Vifahamu "Vichinjio" vinavyowamaliza Makada wa CCM

Vifahamu "Vichinjio" vinavyowamaliza Makada wa CCM

Kuna mpuuzi mmoja aliwahi kutwambia kwenye kikao kuwa kama huna kadi ya CCM huwez ukapata promotion.
Nliumia sana
Yes, ni kweli kabisa. Walikua na huo ujinga sana, siku moja nikiwa Makete ndio nilisikia huo ujinga live, kuna Mwalimu kahamishiwa Makete mjini kisa ni mwana ccm
 
Na huo unauita mfumo hutengenezwa na watu, WATU ni wabaya kwa kuisingizia chama.. mimi sioni ubaya wa chama.
Hata mengine hayaponkwenye chama ila watu huyatenda wakisingizia chama.
 
Infantry Soldier nimeipigia kura Tanzania. Wewe mzalendo mwenzangu unasubiri nini mpaka sasa?????

ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. IPIGIE KURA YA NDIO NCHI YAKO ISHINDE. PLEASE PLEASE PLEASE.

Tanzania has been nominated for the 27th World Travel Awards 2020. To WIN in the nominated categories your SUPPORT and VOTE is much NEEDED. The voting ends on 22 August 2020.

To vote use the following link Vote Vote – World Travel Awards then log in or register for new account.

Vote for Tanzania to win the categories of:

(1) Africa's leading airport

(2) Africa's leading tourist attraction

(3) Africa's leading beach destination

(4) Africa's leading destination

(5) Africa's leading national park

(6) Africa's leading tourist board

YOUR VOTE COUNTS!
 
Back
Top Bottom