Vifaa wanavyotumia kutengenezea Movie (action)

kyatamato

JF-Expert Member
May 14, 2015
387
269
wakuu nisaidieni ,, vifaa wanavyotumia kuchezea movies zao hasa Holywood unakuta wanatumia slaa nzito, vifaru, n.k.. je?? hivi vifaa wanapewa na nani??
 
Jamani mbona kimya hapa,,, ???… . au mpo kwenye majamvi ya siasa??.. naomba msaada jamani na mimi niondoe tongotongo..
 
Kuna kitu inaitwa computer generated images ( CGI)..hvo vifaa ni fake tu au havipo kabisa yani vimeundwa na computer. kuna series inaitwa game of thrones niliona making yake nikajiona ---- sababu nilikua najiuliza majumba ya zamani mazuri hivi wanayatoa wapi kumbe wako chumbani wanaongea then wanatengeneza.niliona wanatengeneza mpaka winter mzee.
 
mkuu bado sijaamini..
 
Back
Top Bottom