Vifaa vya play Station

Peaceful Warrior

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
125
Reaction score
28
Habari za sasa hizi waJF mimi nakaribia kuhitimu chuo wiki ijayo nimekaa nikaona ni bora nitafute ulaji kidogo. Nimewaza bora nifungue play station mtaani kwetu. Je nitapata wapi hivyo vifaa kwa bei nzuri. Nahitaji ps3 kama tatu hivi. Naombeni msaada na ushauri pia kwa mwenye uzoefu wa mambo haya.
 
kwa hyo hela nenda pale ruaha kajishughulishe na kilimo..... utapata mpunga wa maana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…