Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Habari wakuu,
katika maandamano usisahau kubeba vitu hivi
1, maji na vyakula kama mikate kama ukiweza beba maji mengi kwenye hivi vimfuko vya kandoro ukawagawaia wenzako kwenye maandamano, ukifika tu usilaze damu zisambaze kwa wenzako ili kujipunguzia mizigo.
2, Dawa na kama vidonge na vifaa vyengine vya huduma ya kwanza beba kama unaweza
3, Mabango lakini hii sio lazima sana hata mdomo unatosha kuongea na kuimba kama utaki mizigo acha.
5. zingatia hiyo namba nne sana