vifaa vya Gym

Z kama Z

Member
Jul 6, 2011
60
10
habari ya asubu wana JF, Na pia nawasalimu katika Jina la Bwana Yesu.
Jamani natafuta kama kuna mtu anaweza akanionganisha na watu ambao nitapata vifaa vya Gym vyoote yaani kuanzia Body sold, bench , dambel baiskel runing pannel na vyote vinavyohusiana na hizo ,Lakini viwe vya kisasa sio vya kutengenezesha ila viwe tu ni vya mtumba anipigie kwa namba hizi 0767645631 ila kuanzia saa 1 jioni ndo nakuwa hewani au siku za wkend Jmosi na pili
 
Back
Top Bottom