Vifaa Vonavyotisha Mazoezi ya Simba

nimekusoma vizuri sana hapa............nakumbuka tuliwalengesha kwa Asamoah kupitia kwa Rage
 
nimekusoma vizuri sana hapa............nakumbuka tuliwalengesha kwa Asamoah kupitia kwa Rage
Waache waendelee kufuata nyayo za Simba tu, wataona umafia wake baadaye, na hapo ndipo bakora zitakapolia Jangwani kama msimu uliopita wakati Rage alipowaambia wamecheza maechi ya kirafiki na Coastal Union hawakuamini mpaka walipopokwa point 3 kwa kuchezesha mmiliki wa straight red card.
 
ni kweli kabisa wafie mbali adui zetu hawa tunawaombea njaa tu
 
anayeonekana kuvutia sasa ni Ndemla Dembele, hapana shaka atamrithi Mwinyi Kazimoto huyu, ananikumbusha Hussein Marhsa
 

huyu ni beki mpya anayejaribiwa toka Falcon ya Zenji
 

Hapa tunatafuta maisha; Edward Christopher akizungumza na kipa Abuu Hashim kulia wakati wakielekea nyumbani baada ya mazoezi ​
 

alikua mfungaji bora namba 3 Cmaeroon akiwa na magoli 19
 

Hata unune hata ucheke..............Kiemba is the Best for 2012/13
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…