Mazoezi ya Kinesi vijana wanajituma ili wasajiliwe Simba. Hivi sasa wameacha starehe zote na mawazo yote wameyaelekeza uwanjani ili wapate ajira. Ngoja wasajiliwe wapate mshiko waanze kutembelea Kinondoni usiku watakavyokuwa wanacheza utajaza mwenyewe.
Ni kweli usemacho lakini kwa beki kama Issa Rashid aka baba ubaya hayupo kwenye kundi la kina Akuffor, huyo dogo ni habari nyingine.Hofu yangu hata akina Akufor, Komabil, na mapro wenzake walipotua Arusha kambini mwaka jana walikuw awanatisha. Namkumbuka Akuffor alivyokuwa akitupia kila mechi ya kirafiki, nakumbuka aliwahi kupiga bao takribani sita peke yake Simba ikishinda 20-0 mechi ya kirafiki Arusha kabla ya kuanza ligi.
Nakumbuka pia jinsi alivyotua Dar kwa mara ya kwanza kucheza na Sofa paka, Simba ikilaa kwa bao 3, huku yeye huyo huyo asifanye chochote mpaka alipofungashiwa virago.
Tusiwasifu sana kukweli utadhihiri mambo yakianza.
Hofu yangu hata akina Akufor, Komabil, na mapro wenzake walipotua Arusha kambini mwaka jana walikuw awanatisha. Namkumbuka Akuffor alivyokuwa akitupia kila mechi ya kirafiki, nakumbuka aliwahi kupiga bao takribani sita peke yake Simba ikishinda 20-0 mechi ya kirafiki Arusha kabla ya kuanza ligi.
Nakumbuka pia jinsi alivyotua Dar kwa mara ya kwanza kucheza na Sofa paka, Simba ikilaa kwa bao 3, huku yeye huyo huyo asifanye chochote mpaka alipofungashiwa virago.
Tusiwasifu sana kukweli utadhihiri mambo yakianza.
...sasa hawa kandambili bana, mtu anaongelea beki baba Ulaya, hawa wanaongelea AKUFO !! Mbona hamuongelei lile beba mizigo la Camerron ambalo Yebo Yebo walilileta na kuliita Mboma lkn baada ya siku chache likaanza kuuma watu kama Suarez ?
Kabumbu ni yosso tuu, wapate wazuri, watunze na wafundishe mengine yote yatajipa. Na Yosso wa kweli sio kama akina Nsajigwa, njemba ina miaka 55 sasa lkn anaongopa !!!
Wa kuongezea ni wachache sana, endelezeni hao madogo na matunda yataonekana. King aliisuka sana Kagera Stars, hope ataweza kuwasuka na hawa ingawa ningependa sana yule babu arudi amalizie kazi aliyoianza ya kuijenga timu mpya na kuondoa magalasa na wabwiaji wote.. !! Yeye tu ndo kaweza wengine wote hawakuweza maamuzi magumu..
Malengo yawe endelevu sio kushindana na TFF ya Manji, wacha wahonge lkn ipo siku watapigwa na hongo zao..
alisumbua sana lakn BAHATI MBAYA KUITWA TIMU YA TAIFA HADI USAJILIWE SIMBA, YANGA, AZAM, na ukibahatisha sana MTIBWAHuyo Messi niliwahi kumuona akiwa Coastal Union. Ni fundi sana, na kocha wa Stars akimuona kwenye mechi mbili au tatu lazima amuite kikosini.
Kama wadau tumepokea taarifa na tunasubiri kwa hamu tuone makali yake.Ni kweli usemacho lakini kwa beki kama Issa Rashid aka baba ubaya hayupo kwenye kundi la kina Akuffor, huyo dogo ni habari nyingine.
Hoja ya msingi sana, naunga mkono tafadhali.wewe ndio waulize PCCB kama kuna aliyepatikana na tuhuma
Simba ina sifa ya ziada ya kuwa njia panda ya mafanikio ya wachezaji wa Kibongo kuelekea umilionea kama sio ubilionea. mfano. Samatta, Okwi etc.alisumbua sana lakn BAHATI MBAYA KUITWA TIMU YA TAIFA HADI USAJILIWE SIMBA, YANGA, AZAM, na ukibahatisha sana MTIBWA