Habari za wakati huu wana jukwaa.
Mimi ni kijana ninaetazamia kuanza biashara ya ufundi simu kuanzia tarehe 1.4.2025
Nilikua naomba kwa wazoefu mchanganuo wa vifaa pekee vya kuanzia biashara upande wa hardware na software muhimu za kuwa nazo.
Itapendeza kama utaweka na bei ili niangalie budget...
Eneo ni kanda ya Ziwa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.