Vifaa hivi vinapatikana wapi ndani ya Tanzania

Foxhound

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
28,063
74,473
Kwa wale wataalam, mafundi, wapenda electronics, hivi ni miongoni mwa vifaa vinavyotumika katika kutengeneza circuit board, kwa mwenye kuelewa vinakopatikana itapendeza kama tutafahamishana pamoja na bei zake.

d0fcfa66b84ce04ad3335e56f76ad659.jpeg

Neje dk-8-kz engraver au nyingine yoyote ya bei rahisi
b8901350ad3f0f6327b6d868182a874d.jpeg
af83fbbc70ef5eba91a6dffa6e595872.jpeg
f90009dc8e6dfd556dea27a2fceec410.jpeg

Mini bench drill with bits

Hivyo vyote ni kwa ajili ya kutengeneza circuit boards
fe282eb9ca911e15858b857645212621.jpeg

dd084e6a024bd63c5eac564556f97401.jpeg
7798fd1baef589d5f3eef8595505df2b.jpeg
 
Chief kama hutojali tuwasiliane, mimi ni mwana electronics napenda sana kufanya kazi zangu kama kujifurahisha kwasasa ili ujuzi usife, then hiyo mashine Ya Neje DK-8KZ niliwahi kupitia kwenye Zoom Tanzania kuna jamaa anayo anauza 250k wakati nilocheki mitandaoni alibaba ni 59US$
sasa nini kinakuzuia kutonunua alibaba?
 
Kwa asilimia kubwa sana watu bado hawajajua matumizi sahihi ya mtandao na vifaa kama simu na computer.

Ahsante.
 
Kwa wale wataalam, mafundi, wapenda electronics, hivi ni miongoni mwa vifaa vinavyotumika katika kutengeneza circuit board, kwa mwenye kuelewa vinakopatikana itapendeza kama tutafahamishana pamoja na bei zake.

View attachment 1267822
Neje dk-8-kz engraver au nyingine yoyote ya bei rahisi
View attachment 1267823View attachment 1267824View attachment 1267825
Mini bench drill with bits

Hivyo vyote ni kwa ajili ya kutengeneza circuit boards
View attachment 1267826
View attachment 1267827View attachment 1267828

Ingia kwa hii link utapata huduma yako vizuri tu

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Nimeingia mitandaoni bei zake sio kubwa tatizo kubwa ni kwenye gharama za usafirishaji.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
 
Back
Top Bottom