Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

Halafu hilo la "spartcus mnyama mkali" sio group la Vicoba kweli?

Nimepitia google kidogo nifahamu kwa nini views zinapungua na katika machapisho yote sijaona sehemu iliyoandikwa WCB wala Diamond Platinumz. Hivyo wewe Ronaldinho na Ali Kiba wako embu msiwe kama tikitimaji,hata mkikomaa bado hambadiliki rangi.
Why Do My Youtube Video Views Suddenly Dropped Or Disappeared
 
Hapo alipo anatamani uzi wake mwenyewe haufute ujuaji na ukiherehere umemuumbua 😃😃
Anafutia wapi access ya kufanya hivyo tumenyimwa....yan hapa ukishaandika Uzi unakuwa Mali ya JF

Robidinyo badilisha tu ID la sivyo thread zako zijazo zitakuwa zinapata tabu sana.... Kingine muombe Melo akufutie huu 😂😂😂
 
Hayo ya Wasafi Tutaongea baadaye!

Mkuu Yaani Una group kabisa kwa Ajili ya Kujadili ya Spartacus?
images (14).jpeg

The Mnyama Mkali 😂😂😂
 
Kuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
Duuuh.
 
Juzijuzi hapa Chris Brown alimuomba king Kiba afanye nae collabo, King akakataa. Angekuwa Diamond angeongea kweli! Sema king Kiba hapendahi show offs ndio mana kanyamaza tu
 
Back
Top Bottom