Viettel Wamekuita kwenye Interview?

Viettel Wamekuita kwenye Interview?

Duuh,majanga juu ya majanga,watu wanatafuta kazi wakati huo huo kazi imekuwa kazi kupata kazi
 
Why pain ? Tuamke .....tutetee uhai wa taifa letu ......ufisadi huu...so pain.
 
1.vietel tanzania haijasajiliwa kama kampun tanzania.
2.viettel tanzania haitambuliki na TRA wala haina TIN number.
3.viettel tanzania haitambuliki na tcra
4.viettel tanzania haijawah kutoa tangazo lolote lile la kazi au tenda katika gazeti lolote lile linaloaminika ndan au nje ya nchi zaid ya hivi vioja tunavyoviona vya kuapply kupitia email ya gmail

Sasa kwa facts hizi mtu anataka aeleweshwe vipi kama hawa watu wababaishaji. Kama wewe huna kazi nenda ukapotezewe muda lakini ukweli ndio huo hapo juu!!
 
...ur very ill-minded person, yaani hizo taarifa unazozitoa humu kimsingi unaziokota humu humu, na vile ulivyo na cheap mind hufanyi hata research angalau hata ujiridhishe, unakurupuka tu kifua mbele, vdhiethel hhaipho!!!, ka kuna watu aisee, kitu kina exist wewe unang'ang'ana tu haipo, kama haipo wewe kaa kimya na uache kuwa discourage wengine,

huna hata point 1 ya kueleweka zote zina hang tu.

Hebu chasaka tuelezee points zako mana hata mie ni ill_minded bana.
Hebu taarifa au hoja ya msingi acha kushambulia kwA MATUSI AU UMEISHIWA POINTS MANGI UNALETA MAMBO YA KINUKA MORI.

1 ELEZEA UMMA NDO MISHAHARA YAO HIYO

2 DEGREE MIAKA MINNE AFU UCHUKUE 280 HATA MALAYA HAUMPATI UJUE SHILLING NI 1830 KWA DOLA MOJA,
3 PIA WANATUMIA MGONGO WA KAMPUNI JINGINE
4 MKATABA HAWAKUPI UMPELEKEE MWANASHERIA WAKO AKUSHAURI.
5 ANGALAU NAWEWE UNGEONYESHA UTHIBITISHO CHASAKA KULIKO KUPONDA TU NA MATUSI INAONEKANA KAMA FACTS ZINAKUWA ZIMEKUISHIA.
6 pia uthibitishe au ukubaliane na yy mengine la sivyo utakuwa ni mmojawapo wa hao mnaolipwa ili kuja kuturubuni tusio na kazi za mana pia za kihalali bana chasyaka.
 
Back
Top Bottom