Viettel Wamekuita kwenye Interview?

Viettel Wamekuita kwenye Interview?

baada ya kuingia tanzania mnamo mwaka 2012 chini ya mgongo wa epocha and golden oceanic tanzania limited(egotel) ambayo ilikua kampun ya mzawa bwana abdalah mnende. vietel ilianza hila na ujanja.viettel global investment group wakaanzisha kampun hewa ya simu na kuiipa jina 'viettel tanzania company' narudia tena kampuni hili halijasajiliwa popote pale si BRELA si TRA si TCRA.hili si jina la biashara na wala si kampun kwan halijasajiliwa katika mamlaka yoyote hapa nchini na kisheria ni makosa kutumia neno 'company' kwa shughuli zozote ziwe za usaili au biashara bila kufanya usbrela. walianza kwa keo pale sophia house migombani street plot no 145 mikocheni baadae wakaamia gepf house floor ya pili karibu na victoria ali hassan mwinyi road ambapo wapo hadi leo.uhuni wa hawa wavietnam ni kwamba
1.wanaadertise kazi kwa jina la kampun ambalo halipo 'vietel tanzania company' badala ya kuwaambia ukwel watu kwamba kampun wanaloenda kulifanyia kaz ni epocha and golden ocean tanzania ltd'egotel'
2.kazi wanazotangaza ni tofauti na kazi ambazo wanawapa waajiriwa.kwa mfano graduate wa telecom anaaply kama teleom staff mwisho wa siku anapewa kazi ya ukariman na tour guide ambapo analazimishwa kuwa msaidiz, mbeba mizigo na mtafsir endapo hawa wavietnam watahitaj kuwasiliana na wazawa ukizingatia kwamba hawa wavietnam hawajui kiswahil wala kiingereza.trust me hawajui kabisa kiingereza.hivyo wanaitaj watafsir sasa bila aibu wanawageuza wasomi maeengineer wetu kuwa wakarim3.vietel tanzania ndio kampun pekee dunian inayotoa flat rate ya msharaha, sio mshahara kwa maana ya salary bali ni wages za Sh 400,000 (kwa wale msioelewa jaribun kugoogle ili mjue tofauti kat ya salary na wages) vietel tanzania wanawalipa wafanyakaz wao wages na sio salaries(refer kwenye attachment ya mkataba wao hapo chin) hivyo basi kabla ya makato kwa watu wa engineering, computer science, bcom,bussiness administration, b.arts, madereva, marecptionists, watu wa human resource, etc. .........wote hawa wanalipwa lak nne kamil kabla ya makato.kwa scale za tra za pay as yo earn(paye) tax ni 20% ambayo ni elf 80 katvya lak 4 kamil.ukijumlisha na mifuko ya kijamii kama nssf au ppf 10%.take home ya waajiliwa wote wa 'vietel tanzania' ni sh 280,000 kwa mwez.
4.viettel tanzania ni wapumbav, waongo naanyonyaj wa kutupwa. wamewaambia wafanyakaz wao wapya wajigharamikie naul na malaz ya kwenda mikoan bila allowance, bila transport costs, bila gharama za kujikimu kabla ya kupewa mshahara wa kwanza, wala bila per diem kwa ujira wa lak 280 kwa mwez.kwel hii ni halal?ata mwalimu wa shule ya msing ana unafuu........
5.vietel tanzania inatumia jina la egotel inapoingia mikataba na waajiriwa wake.mkataba unaandikwa agreement between 'egotel' as an employer and ...... as an employee. kwanini kwenye mikataba yao ya kazi wanatumia jina la epocha..(egotel) wakat kwenye kuapply nafas za kaz na kuajiri wanawaambia watu mnaajiriwa na kampun ya vietel tanzania?
6. mikataba ya ajira na ya kukodisha maeneo ya kujenga minara mpangishaji na mwajiri ni epocha...(egotel) neno vietel tanzania linatoka wap? ninayo mikataba yote ya kupangisha maeneo kwa ajiri ya kujenga minara na yote nitaiweka online ili watanzania wote waione.
7.kama kampun ni egotel kwanini mnadanganya watu kwamba wameajiriwa vietel tanzania? na kwa nini hawaheshimu profession za watu? utamlipaje engineer aliyesoma miaka nne chuo plus years of experience after school mshahara wa sh 280,000 kwa mwez bila allowance, bila accomodation, bila per diem ya aina yoyote tena kazi mkoan.
8.inakuaje contract of employment inakua haina job title na huwez amin kwa walio uliza waliambiwa eti job description unaambiwa utapewa ukifika kazin.hii imewakumba wale wote walioambiwa waende mikoan kuanzia majuz tu jumanne ya tareh 1.10.2014(ambao ndo intake ya kwanza) wameambiwa wakifika mikoan kwa gharama zao wenyewe ndo watapangiwa majukumu ya kazi.kama huu si uhun ni nini?
9.unawezaje kusign contract na mtu husiwe mjua na ambaye namba zake za simu na email yake inafichwa na ambaye hujawah kumwona eti anatwa.....na ndie managing director wa 'vietel tanzania'.ata copy ya contract hupew...kwel hii ni halal?.naapia hamna mwajiriwa wa vietel tanzania mwenye copy ya contract yake
10. ntarud tena. Kwa kifupi 'vietel tanzania company' haipo. Watanzania wenzagu kueni makini.hawa ni matapeli.hawana hela.ni waongo.wanastahil kuchukuliwa hatua au kufikishwa mahakaman kwa kurubun watanzania.nina meng ya kuongea.......ila inaniuma sana nikiona gratuates tena wa engineering na waajiriwa wengine wana masters,wanafanyishwa kaz za std seven leaver na mambo kama haya.......hawa jamaa ni wahun......nina document nyingine nying za kusupport haya ninayoyasema na zote nitazianika kwa uwazi hapa jf.
Ahsante sana kwa maelezo yako mazuri! According to your explanation, Viettel exists but under the cover of another company! So all these stories about careers and employment is true but the employee will never meet the real employer, that is to say, if you decide to engage then its on your own risk! Mi nadhan kwa ambaye yupo tayar kwa huo mshahara na hizo fujo zote mwache aende! So the first query as to whether the company exists imeshajibiwa, eh! na hilo la pili la ni jinsi gani wanaconduct interview zao, je mkuu una idea yeyote?
Thanx in advance
 
unaanza na online test then unafanya oral then unapangiwa kaz.process nzima ya interview inachukua si chin ya miez mitano.na kaz utakayopangiwa siyo ile uliyoapply.kaz walizonazo ni tofaut na zile wanazoadvertise kwenye tangazo lao
 
Imagine mtu aapply kama dereva anaambiwa akafanye online test yenye maswal ya iq, word na technical sections. Hawa jamaa hawajalish kama mtu ni std 7 leaver, form 4 or 6 leaver, certificate, diploma degree wote wanapewa online test inayofanana na wote wakiajiliwa wanapewa mshahara sawa.huu ni udhalilishaji wa taaluma za watu.na sheria ya kazi na ajira ya tanzania haisemi hivyo
 
baada ya kuingia tanzania mnamo mwaka 2012 chini ya mgongo wa epocha and golden oceanic tanzania limited(egotel) ambayo ilikua kampun ya mzawa bwana abdalah mnende. vietel ilianza hila na ujanja.viettel global investment group wakaanzisha kampun hewa ya simu na kuiipa jina 'viettel tanzania company' narudia tena kampuni hili halijasajiliwa popote pale si BRELA si TRA si TCRA.hili si jina la biashara na wala si kampun kwan halijasajiliwa katika mamlaka yoyote hapa nchini na kisheria ni makosa kutumia neno 'company' kwa shughuli zozote ziwe za usaili au biashara bila kufanya usbrela. walianza kwa keo pale sophia house migombani street plot no 145 mikocheni baadae wakaamia gepf house floor ya pili karibu na victoria ali hassan mwinyi road ambapo wapo hadi leo.uhuni wa hawa wavietnam ni kwamba
1.wanaadertise kazi kwa jina la kampun ambalo halipo 'vietel tanzania company' badala ya kuwaambia ukwel watu kwamba kampun wanaloenda kulifanyia kaz ni epocha and golden ocean tanzania ltd'egotel'
2.kazi wanazotangaza ni tofauti na kazi ambazo wanawapa waajiriwa.kwa mfano graduate wa telecom anaaply kama teleom staff mwisho wa siku anapewa kazi ya ukariman na tour guide ambapo analazimishwa kuwa msaidiz, mbeba mizigo na mtafsir endapo hawa wavietnam watahitaj kuwasiliana na wazawa ukizingatia kwamba hawa wavietnam hawajui kiswahil wala kiingereza.trust me hawajui kabisa kiingereza.hivyo wanaitaj watafsir sasa bila aibu wanawageuza wasomi maeengineer wetu kuwa wakarim3.vietel tanzania ndio kampun pekee dunian inayotoa flat rate ya msharaha, sio mshahara kwa maana ya salary bali ni wages za Sh 400,000 (kwa wale msioelewa jaribun kugoogle ili mjue tofauti kat ya salary na wages) vietel tanzania wanawalipa wafanyakaz wao wages na sio salaries(refer kwenye attachment ya mkataba wao hapo chin) hivyo basi kabla ya makato kwa watu wa engineering, computer science, bcom,bussiness administration, b.arts, madereva, marecptionists, watu wa human resource, etc. .........wote hawa wanalipwa lak nne kamil kabla ya makato.kwa scale za tra za pay as yo earn(paye) tax ni 20% ambayo ni elf 80 katvya lak 4 kamil.ukijumlisha na mifuko ya kijamii kama nssf au ppf 10%.take home ya waajiliwa wote wa 'vietel tanzania' ni sh 280,000 kwa mwez.
4.viettel tanzania ni wapumbav, waongo naanyonyaj wa kutupwa. wamewaambia wafanyakaz wao wapya wajigharamikie naul na malaz ya kwenda mikoan bila allowance, bila transport costs, bila gharama za kujikimu kabla ya kupewa mshahara wa kwanza, wala bila per diem kwa ujira wa lak 280 kwa mwez.kwel hii ni halal?ata mwalimu wa shule ya msing ana unafuu........
5.vietel tanzania inatumia jina la egotel inapoingia mikataba na waajiriwa wake.mkataba unaandikwa agreement between 'egotel' as an employer and ...... as an employee. kwanini kwenye mikataba yao ya kazi wanatumia jina la epocha..(egotel) wakat kwenye kuapply nafas za kaz na kuajiri wanawaambia watu mnaajiriwa na kampun ya vietel tanzania?
6. mikataba ya ajira na ya kukodisha maeneo ya kujenga minara mpangishaji na mwajiri ni epocha...(egotel) neno vietel tanzania linatoka wap? ninayo mikataba yote ya kupangisha maeneo kwa ajiri ya kujenga minara na yote nitaiweka online ili watanzania wote waione.
7.kama kampun ni egotel kwanini mnadanganya watu kwamba wameajiriwa vietel tanzania? na kwa nini hawaheshimu profession za watu? utamlipaje engineer aliyesoma miaka nne chuo plus years of experience after school mshahara wa sh 280,000 kwa mwez bila allowance, bila accomodation, bila per diem ya aina yoyote tena kazi mkoan.
8.inakuaje contract of employment inakua haina job title na huwez amin kwa walio uliza waliambiwa eti job description unaambiwa utapewa ukifika kazin.hii imewakumba wale wote walioambiwa waende mikoan kuanzia majuz tu jumanne ya tareh 1.10.2014(ambao ndo intake ya kwanza) wameambiwa wakifika mikoan kwa gharama zao wenyewe ndo watapangiwa majukumu ya kazi.kama huu si uhun ni nini?
9.unawezaje kusign contract na mtu husiwe mjua na ambaye namba zake za simu na email yake inafichwa na ambaye hujawah kumwona eti anatwa.....na ndie managing director wa 'vietel tanzania'.ata copy ya contract hupew...kwel hii ni halal?.naapia hamna mwajiriwa wa vietel tanzania mwenye copy ya contract yake
10. ntarud tena. Kwa kifupi 'vietel tanzania company' haipo. Watanzania wenzagu kueni makini.hawa ni matapeli.hawana hela.ni waongo.wanastahil kuchukuliwa hatua au kufikishwa mahakaman kwa kurubun watanzania.nina meng ya kuongea.......ila inaniuma sana nikiona gratuates tena wa engineering na waajiriwa wengine wana masters,wanafanyishwa kaz za std seven leaver na mambo kama haya.......hawa jamaa ni wahun......nina document nyingine nying za kusupport haya ninayoyasema na zote nitazianika kwa uwazi hapa jf.

Hawa watu ni wahuni kweli aisee.
 
Asante sana kwa maelezo ya kina, yaonekana unafaham vingi.
Lakini mbona huu mkataba ni kama sample tu coz hakuna sahihi ya mtu yeyote kuonesha kaingia huo mkataba na hii kampuni.
Kingine kuhusu hiyo fixed wage scale unayosema, mbona mi nilifanya usahili kwa hawa Vietell na wakanioffer mshahara mkubwa zaidi ya huo unaoutaja??
Anyways tupe tu data zaidi kama unazo coz lengo langu siyo kukubishia ila kubalance taharifa for our more knowledge.
 
Ndugu kafanye interview achana na hao watu wasiofatilia mambo,na kama wengine wanavyosema hao jamaa wapo pale GEPF house 2nd floor, Ally Hassan Mwinyi Road precisely hatua chahe toka kituo cha daladala Victoria kama waenda Moroco upande wa kushoto,jipange watu washaanza kazi
 
wewe hata hujui unachokiongea.na ni bora ungekaa kimya.au na we ni mmoja wao hawa 'vietel tanzania'? kaka nina uhakika 100% hakuna kampuni inayoitwa VIETTEL TANZANIA.nenda brela ambaye ndo msajili wa makumpun hapa tanzania.hawa jamaa hawapo.nenda tcra ambayo ndio hutoa lesen kwa telecom and mobile operators hawa jamaa hawapo pia. ukitaka nifunguke ntafunguka zaid ya hapa. ila kwa kifup hawa jamaa ni matapel

Hii kampuni ipo sio uongo kipindi ipo mikocheni nilishawahi kwenda ofisini kwao lkn bado hawajaanza kufanya kazi
 
Mmmh! Jamani, mbona tumekuwa wagumu kuelewa!?? Hiyo kampuni ipo sio yenyewe, ina operate kwa mgongo wa egotel! Mbona huyo mh hapo juu amesema yote! Tuwe waelewa ili tuokoe mda!
 
Nili smel somthng fishy about them, nilipiga online test nikawa ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuitwa kwa oral interview pale sophiahouse migombani street, nilifika na kuzungumza nao.
Jamaa hawa ndio walinipa ofer yao ofa yao nikapiga chini maana haikuwa na faida kwangu bali kwao.
Inshort ni kuwa kama unataka kuendelea kimaisha Usipoteze time kupiga nao kazi utakuja shtuka kumekucha bora ukae zako hapa hapa DSM utaeza pata madili your time ikifika
Ila kama unataka kuuza sura na white color, nenda.
 
Tuwe waelewa nini, wabongo hamuishi upumbavu,we nawe ni mmoja wao?? Unaijua Viettel Tanzania wewe?? Baba ako ana hisa huko??? Kampuni gani ina wa Audit???? Shenzi kabisa!!! Nenda kwenye list za Address posta nitaftie Viettel Tanzania....Pumbavu!!!

mkuu nahisi hujanielewa! Namaanisha hivi, kuna watu wamekazana kusema kuwa hii kampuni ipo, mm nikasema kwan nani kasema haipo, isipokuwa wanatumia mgongo wa igotel, yaani wamekuwa kama agent wa igotel lkn sio kampuny kama wanavyojiita!
Dah! Sijawahi hata siku moja humu ndani kutoa lugha chafu! Nisamehe bure mkuu! Uwe na jumapili njema!
 
Sawa mkuu, hamna shida, ila kuna watu wameniudhi, niiliandika thread siku nyingi kuhusu utapeli wa majamaa sasa naona watu bado hawajaelewa halafu kuna wanaolipwa kuja kuisafisha hiyo kampuni feki huku JF. Wanajitetea ofisi zipo, kwani kuwa na ofisi haikufanyi uwe tapeli?? Hawa watu ni matapeli wa kutupwa,kama wanajua kuwekeza kwenye telecom inahitaji pesa nyingi, kwanini wasi-raise capital ya maana waanze operations?? there are so many out there dying to invest.
 
Duh, that's why i appreciate JF.... kwa kwel hata mimi waliniita kwanye interview yao hapo kibaha but kwa haya nliosoma hapa + nlioambiwa na marafiki waliohudhuria hizo interview zao , Nawashauri ndugu zangu hii company haijakaa sawa kabisa. Laki2 na elfu80 tena mkoani? This is impossible bora niendelee kukaza hapa hapa Dar...Asante mtoa post, hakika umenfungua macho.

........gudluck kwa job seekers wote......
 
Mi hawa jamaa wameniatumia msg yao tareh 2/10/2014 saa 10 jioni eti saa mbili ya kesho yake nifike Dodoma Munichen Hotel kwa ajiri ya interview, wakati huo mi nipo mwanza!
Nilichojiuliza wanafikiri kwamba wote walioomba kazi kwao hawatatoka maeneo yale waliyosema kuwa watafanyia interview?
Kwa nini wasitoe taarifa mapema mtu akawa aware? Kazi tumeomba tangu mwezi wa nne then mwezi wa kumi wanakuita kwa conditions kama hizo!!
Hawapo sawa katika kufanya mambo yao.
 
Asante sana kwa maelezo ya kina, yaonekana unafaham vingi.
Lakini mbona huu mkataba ni kama sample tu coz hakuna sahihi ya mtu yeyote kuonesha kaingia huo mkataba na hii kampuni.
Kingine kuhusu hiyo fixed wage scale unayosema, mbona mi nilifanya usahili kwa hawa Vietell na wakanioffer mshahara mkubwa zaidi ya huo unaoutaja??
Anyways tupe tu data zaidi kama unazo coz lengo langu siyo kukubishia ila kubalance taharifa for our more knowledge.

Sio sample.hiyo ndo mikataba yenyewe.unapewa kama ulivyo unaambiwa ujaze details zako na kuurudisha ili nao wasign sehem zao husika.na unaambiwa huruhusiwi kuondoka nao ili ukaupitie nyumban au umpe mwanasheria wako ili aupitie.ukipewa unaambiwa either unaujaza sku hiyo hiyo hapo hapo ofisin kwao ukitaka uondoke nao ili uusome kwa kina unaambiwa ndo kaz ishakushinda hivyo.Hawa watu ni waongo waongo sana.kwenye oral interview waliwapromise watu watawalipa 400k net lakin kwenye mikataba yao ikaja kugundulika kuwa hiyo ni basic before tax na makato mengine.just imagine unaajir staff wa telecon bila kuwakatia insurance ya afya, ajali,etc. Yaan in short hawa watu ni bure kabisa na walistahil kushtakiwa kabisa
 
Hii kampuni ipo sio uongo kipindi ipo mikocheni nilishawahi kwenda ofisini kwao lkn bado hawajaanza kufanya kazi

Hii kampun inayojita 'vietel tanzqnia company' na inayowaomba watu watume application za kazi kwenda 'vietellrecruitment@gmail.com' HAIPO
 
Sio sample.hiyo ndo mikataba yenyewe.unapewa kama ulivyo unaambiwa ujaze details zako na kuurudisha ili nao wasign sehem zao husika.na unaambiwa huruhusiwi kuondoka nao ili ukaupitie nyumban au umpe mwanasheria wako ili aupitie.ukipewa unaambiwa either unaujaza sku hiyo hiyo hapo hapo ofisin kwao ukitaka uondoke nao ili uusome kwa kina unaambiwa ndo kaz ishakushinda hivyo.Hawa watu ni waongo waongo sana.kwenye oral interview waliwapromise watu watawalipa 400k net lakin kwenye mikataba yao ikaja kugundulika kuwa hiyo ni basic before tax na makato mengine.just imagine unaajir staff wa telecon bila kuwakatia insurance ya afya, ajali,etc. Yaan in short hawa watu ni bure kabisa na walistahil kushtakiwa kabisa

Sijawahi kuona wala kusikia watu wananegotiate on net salary but basic.
Any ways shukrani kwa taarifa ila maelezo yako ni kama umegombana na hawa watu au una chuki nao kibinafsi au kibiashara coz kuna makampuni mengi tu nchi hii (hasa wa kihindi) wanayolipa mishara chini ya hiyo 4lk na sijawahi kuona ukiyakosoa.
 
sijawahi kuona wala kusikia watu wananegotiate on net salary but basic.
Any ways shukrani kwa taarifa ila maelezo yako ni kama umegombana na hawa watu au una chuki nao kibinafsi au kibiashara coz kuna makampuni mengi tu nchi hii (hasa wa kihindi) wanayolipa mishara chini ya hiyo 4lk na sijawahi kuona ukiyakosoa.

hao jamaa wamexd wanakupanga mkoa alaf unapewa elf 45 ndo house allowance.
 
Nashindwa kujua tatizo liko wapi hapa wote watu wazima hakuna mtto wala punguani wa akili kwani kama Mtu kaitwa kwenye interview si aende kama ni utapeli ataujua na ukweli ataujua inahaja gani kuleteana madocument yakizushi hapa watu kama mmetapeliana ni huko mlikotapeliana hapa kila mtu kaaply kivyake acha mtu akayaone mwenyewe .
 
Back
Top Bottom