Unapenda slogan Tu weweHahahaaaaaaa inabidi nicheke, alikuwa anatafuta heshima kwa mchepuko.
Imekula kwake! Hata hivyo hii hbr imekaa kishigongoshigongo! Magazeti yake kila siku yanakuja na hbr kama hizi
Umaskini upo dunia nzima Na hata kabla ya yesu pia umaskini ulikuwepo, tambua kuwa haitotokea kila mtu kuwa tajir katika hii sayar.Juhudi, ubunifu na ujasiri wanaoutumia vijana katika kuwafikisha wanawake vileleni...wangekuwa wanavitumia kwenye kuyasaka mafanikio kwa hakika tungekuwa na mabilionea kama utitiri......
Hahahaaaaaaa inabidi nicheke, alikuwa anatafuta heshima kwa mchepuko.
Imekula kwake! Hata hivyo hii hbr imekaa kishigongoshigongo! Magazeti yake kila siku yanakuja na hbr kama hizi
unamaanisha goli la mkono auMda mwingine bora nijiridhishe mwenyewe tu napiga LA fasta. Haya yakujifanya mbele ya papuchi haya ndo matokeo yake
Kwa hiyo unashauri vijana waelekeze nguvu kazi kwenye mambo ya kipuuzi kwa kuwa umasikini ulikuwapo na wao wanastahili kuwa nao.....???Umaskini upo dunia nzima Na hata kabla ya yesu pia umaskini ulikuwepo, tambua kuwa haitotokea kila mtu kuwa tajir katika hii sayar.
Mkuu huwa sioni faida yoyote kuandika habari za uongo, mara nyingi huwa nakwenda pale Bugiruni kununua mbao, nilivyokwenda juzi ndiyo nikakuta habari hii kwamba wanatoka kumzika jamaa Viagra zimemuua.Hahahaaaaaaa inabidi nicheke, alikuwa anatafuta heshima kwa mchepuko.
Imekula kwake! Hata hivyo hii hbr imekaa kishigongoshigongo! Magazeti yake kila siku yanakuja na hbr kama hizi
Hata nyuki wakizinigi mara moja tu hufariki.Katika harakati za kuwafikisha wanawake vileleni vijana huwa hata uhai wao hawauthamini kabisa....wao lengo lao ni kuwafikisha vileleni tu hata kama wao wataishia njiani......
Itabidi tukaulizie kama alikuwepo dalali wa mbao buguruni na amefariki sasa. Hapo tutafahamu ukweli.Hahahaaaaaaa inabidi nicheke, alikuwa anatafuta heshima kwa mchepuko.
Imekula kwake! Hata hivyo hii hbr imekaa kishigongoshigongo! Magazeti yake kila siku yanakuja na hbr kama hizi