Naandika nikiamini Ulishawahi kujiuliza kuhusu kivuli chako ama la kusikia walau kuhusu ushirikina unaohusisha kivuli. ...Lakini naamini kabisa hukuwahi kudhani kuwa unavyo vivuli vitatu Vivuli hivi vitatu havionekani muda wote bali wakati wa jioni jua linapozama au usiku kwenye mbalimwezi...