Salome ya Diamond ni video ya muziki iliyotazamwa zaidi Kenya kwenye Youtube, Work ya Rihanna na Dra

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,272
79,643
Salome ya Diamond ni video ya muziki iliyotazamwa zaidi Kenya kwenye Youtube, Work ya Rihanna na Drake ni ya pili
By Fredrick Bundala on December 9, 2016 - 2:52 pm


Video ya wimbo wa Diamond Platnumz aliomshirikisha Raymond, Salome, ndiyo video ya muziki iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube nchini Kenya, kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, kupitia takwimu ilizozipata.

x15258620_1454017111294721_1203758597243142144_n.jpg.pagespeed.ic.lN2FZQmWka.jpg


BBC Swahili wamedai kuwa kwenye orodha ya nyimbo 10 kutoka duniani kote, nyimbo za Tanzania zimetazamwa zaidi. Takwimu hizo zinadhihirisha jinsi ambavyo Wakenya wanapenda muziki wa Bongo Flava kuliko nchi nyingine yoyote ukitoa Tanzania yenyewe.

Hadi sasa, Salome ina views zaidi milioni 9.8 kwenye mtandao wa Youtube.

Hii ni orodha kamili:

Salome – Diamond Platnumz na Raymond
Work – Rihanna na Drake
Bado – Diamond Platnumz na Harmonize
Sauti Sol – Unconditionally Bae, na Alikiba.
Work from Home – Ty Dolla Sign na Fifth Harmony
This is What You Came For – Calvin Harris
Kwetu – Raymond
Cheap Thrills – Sia na Sean Paul
Pillow Talk – Zayn
Ain’t Your Mama – Jennifer Lopez

Thank u majirani for going Bongo

Salome ya Diamond ni video ya muziki iliyotazamwa zaidi Kenya kwenye Youtube, Work ya Rihanna na Drake ni ya pili | Bongo5.com
 
They will not admit publicly, but i know for the fact, majority can't go to sleep without a dose of Salome.
 
Back
Top Bottom