Video za Ngono

Video za Ngono

Chaajabu nchi zinazopiga marufuku kuangalia pornal ndo zinaongoza kwa wananchi wake kudukua pornal online

Here is a list of top 10 countries that stood above all in the race of watching porn online.

1. Pakistan
2. Egypt
3. Vietnam
4. Iran
5. Morocco
6. India
7. Saudi Arabia
8. Turkey
9. Philippines
10. Poland
 
Acha ushamba wewe. Marekani ni nchi ya kwanza kwa maendeleo, kila sekunde inatengenezwa video ya ngono, mbona nchi haijaharibika?
 
Kuna mambo ya kuwakataza watu lkn sio private issues kama mtu kuangalia simu yake mwenyewe kuangalia kitu bila kumhusisha mtu mwingine. Ni kama hawa delicious wanaotoa tigo zao wenyewe tena wakiwa sirini kwa makubaliano ya siri. Huwezi kuwadhibiti.
 
Mojawapo ya vilevi hatari zaidi duniani, kisaidizi katika kuharibu mahusiano, ndoa, uzalishaji, afya na husababisha mawazo.
Nilikuwa kwenye discussion leo kutoa mawazo yangu juu ya jambo hili kweli, na nakumbuka hii quote maarufu ya Salahuddin,
"Ikiwa unataka kuharibu taifa lolote bila vita, ifanye jamii ione uzinzi au uchi(kutojistiri) ni jambo la kawaida ."
Na jambo hili limeathiri jamii yetu kwa ujumla na kwa kiasi kikubwaaa.
napita tu maana naogopa kuchangia mada
 
Kweli kabisa.

Video za ngono pamoja na mitandao ya kijamii ikitumika vibaya. Kama Whatsapp, Fb, Instagram etc zimeharibu ndoa nyingi sana.
 
Chaajabu nchi zinazopiga marufuku kuangalia pornal ndo zinaongoza kwa wananchi wake kudukua pornal online

Here is a list of top 10 countries that stood above all in the race of watching porn online.

1. Pakistan
2. Egypt
3. Vietnam
4. Iran
5. Morocco
6. India
7. Saudi Arabia
8. Turkey
9. Philippines
10. Poland
Waarabu na nchi zenye watu wa Imani ya kiislam ndio wanaoongoza.
 
Back
Top Bottom