GE2025 VIDEO: Watu mbalimbali wakienda kujaza uwanja kwenye kampeni za mgombea wa CCM

GE2025 VIDEO: Watu mbalimbali wakienda kujaza uwanja kwenye kampeni za mgombea wa CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,445
Reaction score
11,503
Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana!

Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm.

Ama hakika CCM inakubalika sana.

 
Hao sio wanaenda kwenye mambo yao ya Mwenge wa Uhuru kweli? Kwa kuwaangalia ni Wanafunzi wa Sekondari

Naona ni tukio la Mbeya, na kwasasa Mwenge wa Uhuru uko Mkoa wa Mbeya
 
CCM haijapitia misukosuko mjuba, ccm iko kwenye raha zake na inafanya kampeni freshi tu licha ya kuwepo kitisho hewa cha maandamano. Huo umati unaouona ni wa kwenda kuangalia burudani tu, si sera, hao hawajui kitu kinaitwa sera, kama wangejua sera hata vyama vingine vingejaa watu wanaosikiliza sera zao
 
Sasa wa kushangaa ni yupi ? Anayeshangaa wanaoshangaa au Anayeshangaa ? Anyway....

 
Jana nimeona trekta zenye tela nne zinabeba watu kwenda kwenye kampeni za maza!
Geita.
 
Back
Top Bottom