Video: Warning Graphic Images; Watano Wapigwa Mapanga Wafariki kuhusu Ardhi, Wako Wapi Polisi?

Nchi ina hali mbaya sana and the government must do something kabla mauaji hayajawa makubwa zaidi! We use to see this in other countries not in our own Land! I think is a higher time for everyone to think about the destination of our land. Hii inauma sana
 
Definately, Na hii ni ulafi wa watu wachache na Polisi muda wao wote ni kuzuia Maandamano ya Chadema rather than Usalama wa Taifa
 
Hii ni dalili tosha kuwa wananchi hawana imani na vyombo vya utoaji haki nchini. Aibu kwa serikali.

Nakumbuka alivyosema Laurent Nkunda "...watanzania hawana amani bali hawajui haki zao, siku wakizijuwa, watapigana zaidi ya sisi..." maneno yake yana-anza kutimia siku baada ya siku!

Eeeh Mungu fanya maajabu kama ya Loliondo mafisadi waondoke kwenye madaraka kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Nguvu ya Umma sasa ielekeze nguvu zake Magogoni kwa fisadi kikwete na Dodoma katika Bunge la Mafisadi, Hakuna kulala mpaka kinaelekewa
 
Back
Top Bottom