Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Miaka zaidi ya hamsini ya uhuru hii ndiyo hatua kubwa tuliyopiga kama Taifa katika nyanja za sayansi ya tiba pamoja na madawa ya kutibu binadamu!
Mimi nilivyoanza kuangalia mwanzo nilifikiri ni adhabu za kijeshi!Nimekumbuka tanuru la moto kama hili mara ya mwisho lilitumika karne za nyuma kwenye utawala wa mfalme nebkadreza kuwa dump Shedrak meshack na ebednego
Hii njia ya kujifukizia imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha kuwa ni tiba yenye mafanikio katika kutibu Corona?Acha kuingia humo uende hospitali kwenye sayansi ukawekewe mashine ya Oxygen...
Ni hiari mkuu sio lazima...Hii njia ya kujifukizia imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha kuwa ni tiba yenye mafanikio katika kutibu Corona?
Kwa hapo jeshini sio hiyari mkuu ni lazima...Ni hiari mkuu sio lazima...
Hujajibu swali langu na pia kitu kuwa hiari haithibitishi kuwa kitu hicho ni tiba.Ni hiari mkuu sio lazima...
Wahiyo hiyo nyungu itawalegesha hawa ma general waliopoteza maisha in two weeks?Miaka zaidi ya hamsini ya uhuru hii ndiyo hatua kubwa tuliyopiga kama Taifa katika nyanja za sayansi ya tiba pamoja na madawa ya kutibu binadamu!
Wapi hiiMiaka zaidi ya hamsini ya uhuru hii ndiyo hatua kubwa tuliyopiga kama Taifa katika nyanja za sayansi ya tiba pamoja na madawa ya kutibu binadamu!
kwani mkuu chanjo wanazo lazimisha kila kiumbe apate zimejaribiwa wapi na ikaonyesha kuwa tiba?Time hii ni kufanya unachoona kwako kitakusaidia.No one to save you.It's you and you aloneHii njia ya kujifukizia imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha kuwa ni tiba yenye mafanikio katika kutibu Corona?
unaziita ni chanjo za kulazimisha?Mbona Tanzania haikuzikataa chanjo za kulazimishwa za polio pamoja na ndui?Unaelewa kuwa kama siyo chanjo gonjwa la ndui lilikuwa na mpango wa kuingamiza dunia nzima?Uliwahi kusoma historia ya gonjwa la ndui?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuziponda chanjo!kwani mkuu chanjo wanazo lazimisha kila kiumbe apate zimejaribiwa wapi na ikaonyesha kuwa tiba?Time hii ni kufanya unachoona kwako kitakusaidia.No one to save you.It's you and you alone
From time immemorial na ma ancestors. Subiri kuwekewa ventilator kama unao uwezo wa kuimudu gharama yake.Hii njia ya kujifukizia imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha kuwa ni tiba yenye mafanikio katika kutibu Corona?
unaziita ni chanjo za kulazimisha?Mbona Tanzania haikuzikataa chanjo za kulazimishwa za polio pamoja na ndui?Unaelewa kuwa kama siyo chanjo gonjwa la ndui lilikuwa na mpango wa kuingamiza dunia nzima?Uliwahi kusoma historia ya gonjwa la ndui?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuziponda chanjo!