Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
- Thread starter
- #21
Ma ancestors waliugua Corona?!Halafu hujajibu swali langu:Nimekuuliza hii njia ya kujifukizia ilijaribiwa wapi na lini ikaonyesha mafanikio katika kutibu Corona?From time immemorial na ma ancestors. Subiri kuwekewa ventilator kama unao uwezo wa kuimudu gharama yake.