Video: Wanajeshi wakipiga nyungu

Video: Wanajeshi wakipiga nyungu

Ndio ni chanjo za kulazimisha.Hazina matokeo mazuri hadi sasa.Zingekuwa effective ilikuwa haina haja kuwaogopa wasio chanjwa.Hii ni biashara kama biashara zingine.Pia Acha kuishi kwa historia.Mtu akiwa mwema kwako jana haina maana atakuwa mwema kwako kesho.Hizo ni mbinu za mezane ili ujae kwenye nyavu sawa na kumpa kuku mahindi ili azidi kukusogelea akiamini unamjali na kumlisha,Atashtuka yuko juu ya mkaa akibanikwa[emoji23][emoji23]
Acha unjinga mkuu ulitaka upewe bure?
Afu maligafi za kuzalishia alipie nan?
Mashine na za kuzalishia na fedha za kufadhilia uchunguzi na vifaa na watu usafilishaji hadi hapo kwenu?
 
Acha unjinga mkuu ulitaka upewe bure?
Afu maligafi za kuzalishia alipie nan?
Mashine na za kuzalishia na fedha za kufadhilia uchunguzi na vifaa na watu usafilishaji hadi hapo kwenu?
acha mihemko.Kuna sehemu umeona nimeandika bure ?Unajua maana ya biashara?Soma kuelewa sio unakurupuka ili uandike chochote.Hivi shule huwa mnaenda kusomea ujinga??
 
unaziita ni chanjo za kulazimisha?Mbona Tanzania haikuzikataa chanjo za kulazimishwa za polio pamoja na ndui?Unaelewa kuwa kama siyo chanjo gonjwa la ndui lilikuwa na mpango wa kuingamiza dunia nzima?Uliwahi kusoma historia ya gonjwa la ndui?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuziponda chanjo!
Hama nchi ukachanjwe huko kwa wazungu.....tuache na nyungu zetu.
 
Ndio ni chanjo za kulazimisha.Hazina matokeo mazuri hadi sasa.Zingekuwa effective ilikuwa haina haja kuwaogopa wasio chanjwa.Hii ni biashara kama biashara zingine.Pia Acha kuishi kwa historia.Mtu akiwa mwema kwako jana haina maana atakuwa mwema kwako kesho.Hizo ni mbinu za mezane ili ujae kwenye nyavu sawa na kumpa kuku mahindi ili azidi kukusogelea akiamini unamjali na kumlisha,Atashtuka yuko juu ya mkaa akibanikwa[emoji23][emoji23]
Ni kweli Mkuu.....corona imegeuzwa biashara sasa. Huko kwa hao wanaoitwa wajuvi wa mambo ndo inawatafuna kwelikweli.

Na hivi tujiulize nini mantiki ya kutanga idadi ya waambukizwa?
Ni kutengeneza hofu ili watu wajue dunia inaisha.
Tuwe makini. Na humu nahisi kuna watu wametumwa huku kujaza mada ya corona ili kutisha watu na kufanya watu waona Tanzania tunaisha.
Tuwe makini...haimaanishi tupo kisiwani....tuendelee kuchukuwa tahadhari huku tukipiga kazi.
 
Unaweza ukaona idadi kubwa ya wanao piga kelele humu kuhusu corona kuwa tishio na kulazimisha nchi ikubali chanjo za wazungu kila siku wako mtaani hata bila barakoa!
 
Miaka zaidi ya hamsini ya uhuru hii ndiyo hatua kubwa tuliyopiga kama Taifa katika nyanja za sayansi ya tiba pamoja na madawa ya kutibu binadamu!

Hizi picha huwa zinafungukaje mkuu maana mimi niki click hapo kwenye view attachment inanipeleka kwenye majukwaa mengine wala haifunguki.

Natumia samsung A70

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo nikiingia kupitia app haikubali?

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Tumia browser hii,ipo bomba sana.Ina kb 600 tu.Ipo kama app.Inapatikana playstore
210301.jpg
 
Back
Top Bottom