PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mnapata raha gani kuwepo madarakani kwa nguvu za jeshi ama mnaenda kuongoza wanajeshi? Na wananchi ndo washawafikishia ujumbe hivyo
Kwani hao wanajeshi wamewakataza msitoke wapo kwa ajili ya kuwalinda
 
Hayo sio maandamano ni kama Bongo Movies!
Kama una Elimu kidogo ya picha, hiyo picha inaonekana ilipigwa asubuhi sana tena nje kabisa ya Mji ambapo wahusika wamejificha na kujitokeza kama dkk 10; tena kwa woga wa kupitiliza kwa kuficha nyuso zao ili wasije kutambulika. Hayo sio maandamano ni machalii kama watano tu wanaigiza...............
Hayo ni maandamano hata akiandama mmoja ni maandamano tu
 
Back
Top Bottom