PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza.

Wamebeba mbango yanayosomeka:
  • Uchaguzi urudiwe
  • Tume huru
  • Utekaji NO
  • Samia must go
  • Free Tz
wavimba_20251206_072626_0000.png
 
Sasa mbona wanawabariki viongozi wanao andamana kuwatoa?
 
Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza.

Wamebeba mbango yanayosomeka:
  • Uchaguzi urudiwe
  • Tume huru
  • Utekaji NO
  • Samia must go
  • Free Tz
Hawa unaweza kukubali wanahoja zao wasikilizwe na wachiwe wajifanyie wanayotaka kutoa hisia zao ila sio wale Majambazi wa October 29
 
Saa 14:30 naona mmeshafeli mkajipange siku nyingine
Mnapata raha gani kuwepo madarakani kwa nguvu za jeshi ama mnaenda kuongoza wanajeshi? Na wananchi ndo washawafikishia ujumbe hivyo
 
Angalia nchi ilivyo nyeupe utadhani sio jumanne, plan ni ipi? weka askari kila mtaa hadi miaka mitano iishe?
 
Mnapata raha gani kuwepo madarakani kwa nguvu za jeshi ama mnaenda kuongoza wanajeshi? Na wananchi ndo washawafikishia ujumbe hivyo
hivi marekani Donald anajisikia raha gani kuzungukwa na PSG, MUDA WOTE ? hawampendi wengi lakini mbona hamwezi kumtoa kwa nguvu kwa nini Africa tu ndo kila asiyekubaliana na wewe ajifanye anaweza kukutoa?
 
Marekani wanaingia kihalali tatizo nyie mnaingia madarakani kwa wizi.
 
Hayo sio maandamano ni kama Bongo Movies!
Kama una Elimu kidogo ya picha, hiyo picha inaonekana ilipigwa asubuhi sana tena nje kabisa ya Mji ambapo wahusika wamejificha na kujitokeza kama dkk 10; tena kwa woga wa kupitiliza kwa kuficha nyuso zao ili wasije kutambulika. Hayo sio maandamano ni machalii kama watano tu wanaigiza...............
 
hivi marekani Donald anajisikia raha gani kuzungukwa na PSG, MUDA WOTE ? hawampendi wengi lakini mbona hamwezi kumtoa kwa nguvu kwa nini Africa tu ndo kila asiyekubaliana na wewe ajifanye anaweza kukutoa?
Unawezaje ukasema hawampendi wakati anakuweka America atmost? Huyu wa kwenu anaweka familia atmost alafu ndo uje ufananishe? Yule ni nationalist na huyu ni ................. Tafuta jibu jaza mwenyewe usije kusema Prof ananifundisha kila kitu
 
Marekani wanaingia kihalali tatizo nyie mnaingia madarakani kwa wizi.
kihalali donald 2020 umesahau alilamika kaibiwa kura? umesahau clinton alivyolalamika 2016 shida ni sisi waafrica, Brazil umeona wanavyolalamika ?
 
Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza.

Wamebeba mbango yanayosomeka:
  • Uchaguzi urudiwe
  • Tume huru
  • Utekaji NO
  • Samia must go
  • Free Tz
Naona bangi ya leo imewatuma kuwaombea viongozi badala ya kuwalaani.

Hii lzm itakuwa bange ya Zenji. 🤣🤣
 
Unawezaje ukasema hawampendi wakati anakuweka America atmost? Huyu wa kwenu anaweka familia atmost alafu ndo uje ufananishe? Yule ni nationalist na huyu ni ................. Tafuta jibu jaza mwenyewe usije kusema Prof ananifundisha kila kitu
Trump binti yake ni nani? mkwe wake ni ninani? Steve witkoff ni shareholder mwenzake na watoto wao wameoleana, Enzi ya Bush Junior aliweka classmate wake na family member, Mimi huku sitetei kabisa kuweka family members kabisaaa, ningekuwa Samia ningewapa michongo ya bishara kubwa kubwa wawe na hela nyingi lakini si kuwepo serikalini, tena biashara sio za local ningewarahisishia familia kufanya kubwa kubwa za nje mfano ku export korosho, kushinda tenda za WFP huku nanunua NFRA kwa mkopo bila asharti magumu , ku leta wawekezaji wa migodi mikubwa
 
Back
Top Bottom