mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,479
- 138,343
Mbona kwenye hiyo clip mambo yako wazi na tunaweza kuyajadiliUbaya ni kupost mambo yasiyokuwa na tija.
WakudadavuwaMbona kwenye hiyo clip mambo yako wazi na tunaweza kuyajadili
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko , jionee mwenyewe
View attachment 1374599
Hahahaaaaa...... ...hiyo ndio demokrasia bwashee!
Duh.... Naskia kdg uende icuHahahaaaaa...... ...hiyo ndio demokrasia bwashee!
Tuliposena wanalipwa elfu saba saba tulionekana waongo....
.....Hahaha njaa noma
Wale vijana walikuwa kwenye mazoezi wakijiandaa na uchaguzi mkuu.
Wale vijana walikuwa kwenye mazoezi wakijiandaa na uchaguzi mkuu.
Siasa ni sayansi bwashee!
Mimi niko Pemba bwashee!