Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Msisahau 10yrs back hatukuwa na technology tuliyo nayo sasa. Hivyo yalifanyika ila hayaweza kuwekewa kumbukumbu ili yaonekane kama hivi
 
Wafukuzwe wote walio onekana kwenye hiyo video. Wazazi wao nao wafanye kitu ambacho hao watoto hawatasahau
 
Tatizo tz tunalazimisha shule jata kwa watu wasio na akili za darasani hawa baada ya kumaliza std 7 wangepelekwa kwenye maigizo
 
wanatakiwa washughulikiwen hao mapema sana na liwe somo kwa waliobaki ...............
 
Waende wapi? Acheni ujinga hao ni watoto tu ni kiasi cha kuambiwa hayo mambo wasubiri hadi wawe watu wazima watainjoi hadi wachoke.

Hapa walimu wao wameonyesha weakness ya hali ya juu!

Hivi mkuu wana utoto gani wale?

wamefanya kitu ambacho wanakijua vizuri..


kama ni watoto wasingekuwa na smartphone za kujirecodia


WAMEFANYA JAMBO AMBALO WANALIFAHAMU


NA MIMI NASEMA WAFUKUZWE TU, TUMECHOKA SASA
 
Waende wapi? Acheni ujinga hao ni watoto tu ni kiasi cha kuambiwa hayo mambo wasubiri hadi wawe watu wazima watainjoi hadi wachoke.

Hapa walimu wao wameonyesha weakness ya hali ya juu!

walichofanya ni sahihi??????
 
walichofanya ni sahihi??????
Si sahihi kwa wakati wao lakini kazi ya mwalimu/mzazi ni kumrekebisha mtoto. Pengine wamefanya kwa kutokujua kuwa si sahihi kwani hawakuwahi kufundishwa hivyo
Kama wangekuwa watoto wako ungewafukuza nyumbani? Unajua hao watakuwa kina nani baadaye? Tusiwanyime fursa yao ya elimu lwa sababu ya udhaifu wetu sisi wazazi/walimu
 
Nisaidieni wapi nitapata starter ya Mercedes Benz ML 270 CDI engine Diesel
 
Itakuwa wizara ya elimu wameshaingiza somo la mahabati kwenye mtaala mpya......si mnaona kabisa mambo yanafanyikia darasani live..........
 
Hivi mkuu wana utoto gani wale?

wamefanya kitu ambacho wanakijua vizuri..


kama ni watoto wasingekuwa na smartphone za kujirecodia

WAMEFANYA JAMBO AMBALO WANALIFAHAMU


NA MIMI NASEMA WAFUKUZWE TU, TUMECHOKA SASA
Khaa!! Kwani utoto unaishia wapi? Unapokuwa na smart phone basi ushakuwa mtu mzima?? Mtu mzima ni yule ambaye hayuko chini ya himaya ya wazazi au walimu , yule ambaye anaishi kwa kanuni na sheria alizojiwekea. Kama wangekuwa watoto wako ungewaua? Halafu hata sijui kitu kimekuchosha hapo
 
Back
Top Bottom