Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Hakuna cha kuharibu watoto!!!!!

Wao wakati wanafanya huo upumbavu walitegemea nini????

Kisha wakipata Div. 0 wanasema wameonewa na Baraza la Mitihani.

Pumbavu zao!!!!!

Ni washenzi tu hawa!!!!!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Foolish age tu mkuu
 
binafsi nipo ktk group fulani hivi la whatsapp na nimeiona hiyo video,kwa kweli kama mzazi nimeumia sana ndugu zangu,inaumiza kwa kweli.
 
Mkandara,
Ili kupata historical background ya Rwanda & genocide nenda kwenye website ya ICTR; upande wa kushoto kuna item ya 'cases', fuata hiyo link, then nenda kwenye 'completed cases' Kesi ya kwanza utokutakana nayo ni "AKAYESU" click hapo, itakupeleka kwenye link ingine; soma "Judgement" yake, inatoa historical bacvhground ya Rwanda leading to genocide, ni public document

Nishakuunganisha
 
Jamani
1. Walichofanya ni kibaya
2, aliyerysha humu naye kakosea

so kama kuna wadau ambaoa wanahusika please re work ojn it na ikiwezekamna hatua zichukuliwe wataiga wengi!!

Mkuu;

Hizi tabia ni muhimu kuzikemea na siyo kuzificha.

Kama wao walijiweka hadharani, iweje sisi tuogope??????

Kwa mtazamo wangu nafikiria ni heri MODS wa JF waanzishe Jukwaa la "OPERESHENI FICHUA MAOVU"

Mbona Global Publishers na ile OFM hatulalamiki kuwa wanafanya makosa, tena wao ndio wanaumbua ile mbaya gazetini.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Enheeeee Mungu ishafika huku na thread imeanzishwa........

wameshafukuzwa shule.
 
Aise hii mbona ni kama naota vile huyu si kijana wangu huyu hebu ngoja nimuite mama nanihii eti we nani.

Hawa watoto mbona balaa hili ni shule gani hii?
​sasa hujui hata mwanao anasoma wapi???
 
hao watoto was....e sana yani hawastahili hata kupata ZERO
 
Back
Top Bottom