Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Ndio basi tena wakishaanza kununua viwembe wanakua tayari kwa ajili ya matumizi.
 
Duh, mtu unawexza ukafa kwa presha ukiona mwanao anafanya huu ufandaango.
 
Ni shidaaaaa! Huduma ya kiroho inahitajika sana, si kwa vijana kama hao tu bali hata kwa watu wazima na mvi zao wanaotesana kwenye ndoa zao na kusalitiana kila siku, matokeo yake watoto wanakosa wa kuwaonya na kuwaongoza! Mungu ikumbuke Dunia!
 
Dogo anampa mambo mwenzie, safi sana wako na Mwalimu wa kwa Vitendo zaidi......Duh
 
Hii ni katika moja ya shule hapa Dar, hapo nadhani ni Aga-khan mzizima,nilisoma hapo some 10 years ago.., nazifahamu vilivyo hizo stair cases..


Yaani mkuu hiyo heading yako ni sawa sawa kabisa.

Kwani huu ni ufuska wa Kijinga tena kishamba huenda hawa ni wa kuja



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Mnajua sisi ndiyo tunaharibu hawa watoto wamekosea sasa mnasambaza kila mahali jamani kwa nini msiifute tu!!


Hakuna cha kuharibu watoto!!!!!

Wao wakati wanafanya huo upumbavu walitegemea nini????

Kisha wakipata Div. 0 wanasema wameonewa na Baraza la Mitihani.

Pumbavu zao!!!!!

Ni washenzi tu hawa!!!!!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
ningekuwa headmaster fukuzia mbali wakatafute shule nyingine
na ningekuwa mzazi siwezi choma hela yangu namna hyo ni heri nikainywee bia,ninemuhurumia namrudisha shule zetu za saint kayumba
 
Jamani
1. Walichofanya ni kibaya
2, aliyerysha humu naye kakosea

so kama kuna wadau ambaoa wanahusika please re work ojn it na ikiwezekamna hatua zichukuliwe wataiga wengi!!
 
Bora hao wakubwa, wale wa darasa la kwanza ARUSHA umewaona?
Tena wanafanyana kinyume na maumbile.
Mungu atunusuru kizazi cha nyoka.
 
Mbona hkna kitu hapo zaidi ya obama au ndio moderators wamemoderaye tayari!!!!!!;-)
 
Ndio maana division zero zinaongezeka duu, teknolojia inakua huku maadili yanazidi kuporomoka. Mwanzo tulisema TV na tamthiliya za kigeni ila sasa kila mwanafunzi ana smartphone na hakuna anayewazuia kuangalia porn sites.
 
Back
Top Bottom