Video: Ufisadi wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam waanikwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,429
Yadaiwa aliweka ndugu yake Ubungo Bus Terminal ili akwapue pesa , watendaji wa jiji waliofanya vizuri akiwemo aliyepandisha mapato ya DDC wahamishwa kimizengwe kwa sababu walimzibia kupata 10% , watupwa madongo kuinama , mwingine atupwa Malinyi akapambane na ngedere !

Kwa watendaji wa namna hii awamu ya 5 yaweza kuvunja rekodi ya ufisadi tangu nchi hii ivumbuliwe .
 

Attachments

Kumbe bado wanafanya uchunguzi! .Si bora wengeripoti hili suala takukuru ili nao waanze kazi mapema.
Lakini kwa nini wamesubiri mpaka meya alipofurumushwa!
 
Huyu mkurugenzi ni wa kukamatwa tuu ! Yeye na anayeshirikiana nae hata kama ni RC Makonda kwa kweli ni wahujumu. Maana naona Mh. Kubenea mpaka mishipa ya kichwa inamtoka asee !

Hawa ndio watu wachache wanaochafua serikali ya awamu ya tano, ni wakufungwa tuu wakikutikana na hatia mahakamani. Very bad !
 
Pole sana mh Rais Magufuli kila unapojitahidi kuteua watumishi hujikuta umeteua wezi na mafisadi. Unabahati mabya sana kuwa rais kupitia ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…