Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

CHADEMA wasipokuwa makini wataishiwa kususiwa wao na Watanzania.

Tanzania haijafikia kabisa viwango vya kususiwa na jumuia ya kimataifa.

Sasa huyu so called 'msomi' ndo anataka nchi isusiwe?

Kwa minajili gani hasa?

Mtu yupo Tanzania na ana uhuru wa kumzungumzia hivyo rais aliyepo madarakani halafu anataka nchi isusiwe?

Hata hiyo jumuia ya kimataifa ikimsikia itamcheka kwa dharau nyingi sana.

Huyu jamaa mdomo wake hauna breki!

He is a demagogue on steroids!
 
Mbunge wa Singida Mashariki amefanya mkutano na waandishi wa habari akimtuhumu Magufuli kwa mambo mengi na kutaka asusiwe kila mahali
Amesema mataifa ya nje yanayompa hela Magufuli yamsusie Magufuli na kutompa pesa za kuikandamiza Tanzania
Kujenga uwanja wa ndege Chato ni kama Mobutu Seseseko alivyojenga kijijini kwao
Amesema Mwinyi na wengine wanaotaka Magufuli aongoze miaka zaidi ya 10 wanataka Magufuli awe kama rafiki zake Nkurunziza, Kagame na Joseph Kabila na kuita huo ni ujinga
Wanaoshangilia Bombardier hawajui zimenunuliwaje na Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya kikabila na Kifamilia, akimtolea mfano Dotto James katibu mkuu wizara ya fedha na Naibu wake ni watoto wa dada alikuwa afisa ngazi za chini wa Tanroads miaka 2 iliyopita na wanaambiana mjomba tununue ndege, tujenge uwanja wa ndege nyumbani na hela zinatoka

Mmoja wa wanasheria wa wizara mmoja Medad Kalemani na naibu waziri nishati na madini hakufukuzwa kwenye skendo ya madini iliyomuondoa Muhongo

Kuingilia uhuru wa mahakama
Anawaambia majaji kwenye mikutano ya hadhara namna ya kutoa hukumu
Sasa ni mwezi wa 8 mahakama ya Tanzania haina Jaji mkuu ina Kaimu jaji mkuu na hii haijawahi kutokea
Magufuli anajiona yeye ndio dola kwenye karne ya 21
Majaji wa mahakama kuu 4 kujiuzulu ndani ya miezi 3 haijawahi kutokea na sababu wala maelezo hayatolewi japo kuna baadhi yao walihusika na Escrow ila haijatolewa sababu
Kama majaji wanalazimishwa kujiuzulu bila maelezo nani yupo salama?
Vyombo vya habari vinavamiwa kwa bunduki na hakuna hatua inayochukuliwa
Tunaposema udikteta ndio huu
Kazi ya kupinga udikteta sio ya Chadema tu, ni vyombo vya habari, wafanyakazi wa serikali na viongozi wa dini
Viongozi wa dini hawapo salama pia, viongzi wa dini ya Katoliki kutoka nje wamepewa work permit ila viongozi wa dini nyingine wanaambiwa waende uhamiaji




Taarifa rasmi za Chadema zinatolewa na Tumaini Makene, kama ni mtu binafsi ungeweka video clip watu makini tungethibisha hizi ni kauli kutoka kwa Lissu na tungechangia.
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
Aliyoyasema yana ukweli? Jiulize swali hilo!
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
Mmefikia wapi baada yakuongea au trilioni 108 zimeshatolewa na makinikia yakaruhusiwa bila sisi kujua?
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
Wazungu wako makini sana wana msemo scratch my back I scratch yours. Huwezi singizia unamtetea mzungu halafu unaenda kumwomba rushwa ili umtetee bungeni kwenye madini nk Chadema wakitaka hao wazungu wawatetee wao si waliwapa cash? Wao wanawapa Cash shilingi ngapi? Tundu put a price tag here. Hawawezi kufanya uzalendo wakati nyie You put a Price tag
 
Mie nadhani chadema wanamcoach huyu Tindu agombee nafasi ya urais..

Mnamuona mwenzenu anabwabwaja, hamjui ni strategy ya kujikuza jina ili 2020 agombee and na kuzuia CHADEMA isipotee hewani, manake reputation ya chama imeshuka recently.
 
Back
Top Bottom