Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

Kwa hiyo ndio maana mkulu nae ameanza kuwapendelea wasukuma, ndg zake na ukanda?
 
Kwa hiyo ndio maana mkulu nae ameanza kuwapendelea wasukuma, ndg zake na ukanda?
Toa takwimu, kwani mimi nimetoa takwimu. Nimesema hivyo ili ajue pamoja na yeye kumpa dadake ubunge hakuna aliyejali sababu tulijua dadake ni mtanzania.
 
Toa takwimu, kwani mimi nimetoa takwimu. Nimesema hivyo ili ajue pamoja na yeye kumpa dadake ubunge hakuna aliyejali sababu tulijua dadake ni mtanzania.
Takwimu gani unazotaka zaidi ya zile za Lissu?
Hebu Fanya utafiti ya wakuu wa mikoa, wilaya na DED
Huyu mtu Lazima apingwe kwani aliapa kwa mjibu wa katiba.
"Tunamwapisha ili tupate sababu ya kumshitaki akishindwa kulinda katiba hiyo"
 
Just imagine Lissu kawa Raisi?


Yapi atakayoyafanya, hebu tujaribu kuyaweka hapa kwa mawazo yetu wana JF( lets predict what he will do in his first 3 months)::

1. Atayunga sheria mpya yeye mwenyewe na bila ya msaada ya wanasheria wengine.
2. Atawaweka kizuizini baadhi ya maraisi na viongozi wa ccm.
3. Atakifungia chama cha ccm na kukifutakabisa.
4. Atajenga kiwanda cha mafuta ya kupikia na kiwanja cha ndege cha kimataifa singida.
5.
6.
7.

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
hahahahahah
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
Alaaaa
 
Back
Top Bottom