Video: Trafiki akijidhalilisha kwa kucheza barabarani

traffic na mashati ya mikono mirefu wapi na wapi!!!!

kila siku wanapiga hela zenu ila hata hamjawajua vyema wanavaaje!huo nao ni uzembe.
 
tabia ya hawa trafiki kufanya mambo ya ajabu ajabu barabarani yanadhalilisha jeshi la polisi. Hii inaendana kinyume na miiko ya kazi kabisa. Wengine mtapinga ila hii tabia imekuwa too much sasa kwa trafiki. Itapelekea hadi nidhamu kushuka.

Kwenye hii video nimeshangazwa sana na kusikitika.

View attachment 1901864
Mwache acheze, NCHI YA TOZO HII
 
Back
Top Bottom