Wee mtu unaonekana ni ****** sana. Mbona neno "Palestine" lipo sana kwenye Biblia? Na agano la kale hata Waislaam hatupishani sana (mie ni Mkristo). Kwenye agano la kale, utakuta kundi la watu waitwao WAFILISTI. Hao Wafilisti ndiyo Wapalestine kwa taarifa yako ambao wamekuwa wakiishi sambamba na Waisrael tangu hawa jamaa Warudi kutoka utumwani huko Egypt.
Walikuja wakakimbia tena na kuishi kwa wingi sana nchi za Ulaya na hasa Ulaya Mashariki na Kati kama German, Hungury, Poland, Czech, Ukraine, Russia nk. Alipokuja Fuhrer Adolf Hitler, akaanza kuwaingiza kwenye Gas Chamber na kuuwa takribani Wa-Israel milioni Sita (6 Mlns.). Ndipo kwa wingi sana wakaanza tena kurudi kwenye nchi iitwayo PALETINE ambayo wakati huo ilikuwa ni koloni la Waingereza.
Uingereza kwa System yao ya Devide and Rule, kama walivyofanya Zanzibar, South Africa nk walipoamua kuliacha koloni la Paletine, badala ya kuwaachia UHURU watu wa Paletine, wao wakawaachia uhuru Waisrael (minority). Jambo hilo, huhitaji sana kuwa na akili kujua kuwa ilikuwa ni timing Bomb ambalo litalipuka hivi karibuni. Na ndivyo ilivyotokea na Wajinga hawa (UK, USA) wamefaidi sana kwa kuuza silaha kwa Waarabu na Waisrael.
Ukweli ni kwamba, haya Makabila wameishi kama Majirani kwa miaka mingi sana huku Wakipondana na kuuawana utafikiri Mijitu isiyo na akili timamu. Halafu mtu anakuja na kusema Eti Waafrica hatuna akili, mhhh.... mbona sisi ugomvi na Malawi uko mezani bila kupigana? Waisrael na akili zao, wameshindwa kabisa kumaliza ugomvi huu. Je ni ugomvi ambao Mungu ana mipango yake? Sijui.
Sasa hivi wanazidi KUJENGA kwenye maeneo waliyoyanyang'anya na kuwafukuza Wapalestine. Wapelestine hao wanaishi kama Wakimbizi huko Jordan, Lebanon, Syria nk. Hizo nchi zimewagomea kabisa kuwapa URAIA. Sasa huko walipo na shida wanazopata, ni kuwa Israel inajiandalia jeshi zuri tu ambalo siku moja hao vijana watasimama na kupigana vita kali sana kama siyo vita ya tatu ya dunia. USA, UK na Israel walikuwa na uwezo sana tu wa kumaliza huu ugomvi ila tatizo ni kuwa hakuna mwenye dhamira ya uhakika ya kuumaliza ugomvi.
Kukuwa kwa technology na urahisi wake, kutaifanya vita kati ya Israel na Waarabu kuwa ngumu sana. Kwa sasa ni wazi kabisa kuwa Israel hawezi kuishambulia Iran kwa kuwa anajua ingawa atashinda, ila na yeye ataachwa akiwa HOI na mchovu na hapo kuwa Rahisi kushambuliwa na Waarabu wengine kama Palestine. Kuanguka kwa USA ki-uchumi na kuja kwa Mchina/Mrusi juu kiuchumi pamoja na nchi za Kiarabu au zisizojali sana Who is Israel (nchi kama Brazil, SA nk), kutamfanya pia Israel kuanza kuwa dhaifu. Matatizo ya uchumi ya USA pia yatafanya waanze kujijali kwanza wao (Obama alimpa wazi Netanyahu na vitisho vyake na wengi wakaamini, Wayahudi wa USA watamtenda Obama, ila matokeo yameonyesha kuwa Black, Latino, Gays na makundi kadhaa, hawajali sana Wayahudi wanataka nini na wakamchagua), hivyo Rais wa USA kwa sasa anaweza kabisa kusema NO kwa Israel.
Umesema mambo yenye mantiki na nakuvulia kofia. Siyo hawa wanaokuja na kuropoka michuzi waliyoiona na kuisikia kwenye CNN, BBC na Fox News, bila ya wao wenyewe kufikiri.
Naunga mkono yote isipokuwa mambo mawili, mkuu, inabidi ufikirie upya:
1- Rais wa Marekani, yeyote, hana uwezo wa kuipinga Israel. Wa mwisho kufanya hivyo alikuwa Kennedy aliyepinga Israel kuwa na nuklia....na angalia matokeo yake.
2- Pamoja na ripoti zote, picha za filamu, na hata kuwekwa sheria zinazotisha ukisema kinyume....ila usiamini bila kufikiria kuwa Hitler aliwauwa Wayahudi milioni 6. Ni kweli kuwa aliuwa Wayahudi wengi, kama alivyofanya kwa makabila mengine, lakini si idadi ya milioni 6 na definately si kwa gesi.
Jambo zuri siku hizi ni kuwa kuna kitu hiki kiitwacho 'social media' ambacho kabisa kinavunja ukiritimba (monopoly) ya hivi vyombo vikuu vya habari vinavyomilikwa na maslahi fulani. Nataka ufikirie hivi (kwa mantiki tu). Mauaji ya hao milioni 6 yanasemekana yamefanyika kuelekea mwisho wa vita vya pili vya dunia 1944-1945, tena kwa siri. Watu milioni 6 wameuawa katika kipindi cha mwaka mmoja, katika vyumba vya gesi, tena kwa siri!!!! Nani anayeweza kufanya hivi. Milioni sita ni idadi ya kama wakazi wote wa Burundi hii leo!
Linganisha:
Katika vita vya Iran na Iraq vilivyoendelea kwa miaka minane, wakitupiana kila aina ya silaha,., tena katikati ya miji....lakini matokeo ni vifo vya watu milioni 1 na nusu tu.
Vita kali zaidi ya Vietnam,tangu mwaka 1955 hadi 1975, silaha kali kali kabisa zilitumiwa na Wafaransa kisha Wamarekani katika miji, vijiji na kila mahali, matokeo.....watu milioni 3 (tena hiyo ni hesabu ya wanaokwenda juu sana).
Kweli inawezekana katika mwaka mmoja tu, tena kwa siri, na katika mahali pafinyu, katika shughuli inayohitajia kazi nyingi (kuwaingiza, kuwatoa, kuwachoma, kutupa n.k) waweze kuangamiza halaiki hiyo?
Halafu namba hii milioni 6 ilitajwa katika maandiko ya Wayahudi hata kabla ya vita vya kwanza vya dunia. Ni kana kwamba walikuwa wameiweka iwe sababu ya kufanya waliyoyafanya baadaye......fikiria upya, dunia hii kuna watu evil...tena kweli kweli!
Bahati nzuri, kama nilivyosema, Mungu anatupenda kwa kuleta hizi Youtube, Fecebook, Wikipedia, Wikileaks...nk siku hizi ukitaka ukweli utaupata. Zitumie hizi kabla hawajazifungia! Maana waishaona madhara yake ya kuwaamsha watu waliolala. Ukifuatilia habari, the powers that be, wanajaribu kutunga sheria za kufungia, kupiga marufuku au kutohoa hizi social media!