(Video)Sultani wa Zanzibar alivyofurahia mauaji ya Karume; alitarajia kurudi Zanzibar?

... I was delighted to hear that Karume was assassinated.... .

.... If my people want me, I'll certainly go...

[video=youtube_share;7kTuy1cY5GA]http://youtu.be/7kTuy1cY5GA[/video]


huyu jamaa sultan hakuwa Muarabu wa kweli kweli kabisa kumbe..naona ana Afro na siyo zile nywele za kulala kabisa
 
....WAZANZIBARI KWA VYOVYOTE HAWARUDI NYUMA HADI TUPATE NCHI YETU
Nchi ipi hiyo??? Najua utasema Zanzibar...

Zanzibar ipi?? I mean Unguja ama Pemba?

Kwa sababu mpaka hapo kuna mgawanyiko wa ndani. Yaani Uunguja na Upemba...
 
Nchi ipi hiyo??? Najua utasema Zanzibar...

Zanzibar ipi?? I mean Unguja ama Pemba?

Kwa sababu mpaka hapo kuna mgawanyiko wa ndani. Yaani Uunguja na Upemba...

Kwa comment hii hata Umod haukufai,

Nitajie nchi gani hakuna migogoro ya ndani!
 
Watu sijui waziona vipi hizi dini? Kwa jinsi tunavyo zipenda na kuzitukuza kuliko hata hujo zikoanzia, waarabu kibao wanaishi na wakristo au wayahudi bila matatizo hapa kwetu sijui tatizo nini?

kwa uelewa wangu mfupi moja ya ukoloni tuliobakiwa nao Afrika ni hizi dini, kama tunaweza kuondoa hizi tufauti na kusimama pamoja tutashinda kila kitu, ila sioni hilo likitokea leo au kesho.
 
Swali -: huyo Sultani bado yuko hai? na kama yuko hai,je kwasasa atakuwa na miaka mingapi?
na kama kafa,je kafa mwaka gani?....wajuvi nijuzeni kwa faida yangu na watu wengine
 
MMKJ unajitahidi sana kumsafisha "Mwenye heri", ila katika hili sidhani kama utafanikiwa!
Hakuna kama Mwl nyerere' na hatakuja mtu kama mwl.nyerere Tanzania hii...ila inaweza tokea mtu anayefanana kwa sura
lakini si kufanana kwa Hekima,busara na uongozi! Nasema tena haitakuja kutokea huyo mtu....utaki unaacha
 
Hivi ni kwanini tunaumiza vichwa na huu Muungano!

Acha uvunjike .... wapemba wote walioko bara warudi kwao .... naamaanisha wafanyabiashara na waajiriwa. ili wapate nafasi ya kuja kufanya kazi au biashara bara lazima wawe na entry visa na working permit. Sipati kigugumizi katika hili kwa sababu takwimu zinaonyesha kuwa wqbara walioko unguja ni 28% ya wapemba/waunguja walioko bara.
 
Pole sana Mtu wa Pwani. maumivu makali! Kwa nini lakini?

MMJ kumbe ww mpumbavu sana na una roho mbaya hasa kwa wazanzibari.

MMJ alitengeneza haka ka video? Kwanini usiwatukane waliotengeneza!
Je wametunga/uongo?

roho mbaya hasa kwa wazanzibari. kwa vipi?

Ukweli kuna interest ya watu wa nje wengi tu kwenye kuvunja muungano. Waarabu wanaongoza. Usisahau Iran nayo haipo nyuma, ina maslahi zaidi katika kuuvunja muungano. bahati mbaya sana entry point ni dini, na watu wetu ni mawakala wao wa kutuchuuza kama walivyokuwa wakati wa utumwa.
 
Duh sasa nakubaliana na maneno ya Mwl Nyerere kwamba Zanzibar itatusumbua waTanganyika.
 
Hakuna kama Mwl nyerere' na hatakuja mtu kama mwl.nyerere Tanzania hii...ila inaweza tokea mtu anayefanana kwa sura
lakini si kufanana kwa Hekima,busara na uongozi! Nasema tena haitakuja kutokea huyo mtu....utaki unaacha

Well said, namkubali kikamilifu Nyerere, namkubali pia Mzee Karume the supergenious who didn't go to school but left historic achievements that the so called "modern" scholars want to destroy. Tusidanganyane, madhara ya kuuvvnja muungano yatakuwa na impact kubwa na ya muda mrefu kabisa kwa bara na visiwani. Wazanzibari wanatumiwa kisiasa na maajenti wa Jamshid bila kujua. Tatizo ni vyombo vya inteligensia kuchakachuliwa hadi yote haya kutokea bila hata ya serikali kujua. CCM ya sasa itabeba lawama kwa yote yanayojiri.
 

Nyie wenzetu amkeni toka utumwa wa mawazo mliorithishwa na hao waarabu.
 
HIvi inawezekana kulikuwa na mkono wa Sultani katika mauaji ya Karume?
Kwanini isiwe MR X,au ndo mnatafuta pakukimbilia na kupotosha ukweli halisi.. Itabaki kuwa ni MR X Aliemuua Karume. Hata hiyo video haionyeshi kabisa namna Sultan alivohusika. na huyo jamaa alikuwa hayupo na huko alipo alikuwa hana nguvu zozote.Ajabu mtu kama wewe kutuletea ajenda kama hii.. lkn sishangai,naamini watanganyika hasa wa mrengo wa kushoto mna ajenda ya siri dhidi ya znz. kwani ajabu juzi ati mnasema mfadhili wa muamsho amerudi kutoka oman lkn mumeshindwa kutoa taarifa kuwa huyo jamaa AZANI amevunjiwa nyumba yake na polisi wakati hayupo.
 
We can't play this down. It is certain that his people now want him back.
 
Zanzibar we want: constitituional monachy with sultan as head of state. Safi sana!
 

Mapovu ya nini we mwana Uamsho!
Ulizia ni nani aliwachinja wenzenu na sababu ya kufanya hivyo Wazanzibari kwa wazanzibari.
Wala hawakuwa wamelewa tende au mnazi.
Historia ya Zanzibar ni mapambano ya UBAGUZI wa rangi na si vinginevyo.Mnao kumbatia yale machafu yaliyopita mnaendelea kunoa mapanga yatakayo kata shingo zenu kwa mara nyingine.
Tatizo kubwa ni watu kama wewe ni kupindisha au kutoelewa the basic contradiction katika siasa za Zanzibar.
Leo mnafikiri Watanganyika ndio maadui zenu, nakuomba uishi maisha marefu mapanga yasikukute ili hatimaye uelewe ukweli wenyewe.

Nikuulize tu swali la kiuchokozi-Je umesikia tamko lolote toka la MAALIM SHEIKH SEIF SHARRIF HAMAD?
Tunazisikia tu safari zake za huko Oman!
Kama mtu ana akili basi unganisha all the dots.
Kama hujasikia yote hayo lakini kama umesikia basi kama alivosema JK-changanya za za kwako!
 
... I was delighted to hear that Karume was assassinated.... .

.... If my people want me, I'll certainly go...

[video=youtube_share;7kTuy1cY5G A]http://youtu.be/7kTuy1cY5GA[/video]



 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…