(Video)Sultani wa Zanzibar alivyofurahia mauaji ya Karume; alitarajia kurudi Zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

(Video)Sultani wa Zanzibar alivyofurahia mauaji ya Karume; alitarajia kurudi Zanzibar?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 3, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  ... I was delighted to hear that Karume was assassinated.... .

  .... If my people want me, I'll certainly go...

  [video=youtube_share;7kTuy1cY5GA]http://youtu.be/7kTuy1cY5GA[/video]
   
 2. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hivi Mmanga huyu bado atakuwa yu hai hivileo?
   
 3. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MM Toka sakata la Uamsho lianze Viongozi walio mstari wa mbele hasa MA AMIRI/MAJEMEDARI ni wale wenye asili ya Kiarabu. Hao ndio wasemaji wakuu na ndio wenye Amri. Mmoja wao leo hii karudi toka Oman kwa kisingizio cha kutoka Hospitali! Mimi ninamashaka kuna makala hapa pia inatilia mashaka uhusiano wa Waarabu hawa (MA AMIRI) na conection ya Arabuni kwa jumla na Clip hiyo inamrudisha X Sultan Kwenye picha. Labda Vichwani mwao wanasema: Zimwi Likujualo..............! Time will tell.
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Upuuzi mtupu. Kuna watu bado wana akili za kizamani.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  HIvi inawezekana kulikuwa na mkono wa Sultani katika mauaji ya Karume?
   
 6. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MM kwenye hiyo mihadhara ya Uamsho wanadai kuna mtu alitambulika kama Mr X wakadai watamtaja karibuni
  sasa sijui kama hiyo nafasi itatokea...............! Time will tell.
   
 7. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Funika Kombe mwanakharamu apite.
   
 8. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Mh Mkuu MM, unataka kubadili imani za Wazanizbar kuwa Karume aliuawa na Nyerere! UAMSHO watakuelewa kweli!

  MS kaandika mapinduzi yalipangwa kuangamiza Uislam, Ahmed Rajab anasema kiwango cha maendeleo wakati wa Sultan hakijafikiwa! Nani amebaki wa kushuku tu kuwa huenda Sultan alikuwa na mkono!!!
  Nani atasema Sultan alikuwa na mkono kwa maana yeye alikuwa mwislam, halafu kumtaja yeye kutavuruga theory na conspiracy zote juu ya Nyerere!
   
 9. c

  chama JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji;
  Pekupekua yako kiboko; sasa wale wasiolewa uamsho maana yake nini ndipo watakapojua; nilitegemea jumuiya ya uamsho ingepigania zaidi mambo na misingi ya maisha ya kiisalmu; Zanzibar kuna mambo mengi na mabaya ambayo hayaendani na mafundisho ya kiisalmu kama vile USHOGA uliokithiri; ULEVI uliokithiri na kuruhusu makampuni ya BIA kudhamini michezo kukithiri matumizi ya MADAWA YA KULEVYA badala yake wamejitia kwenye siasa; hapa kuna mkono wa OMAN si bure inawezekana labda hizi fununu za mafuta ndio zinaweza kuwa chanzo unajua OMAN ni waarabu masikini hawana utajiri kama waarabu wengine; huyu sheikh wa uamsho kenda kwenye matibabu Oman; kama angkuwa mgonjwa wa kweli hospital zetu ni India.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 10. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nyerere ndiye alikuwa na mkono baada ya Karume kushtuka juu ya muungano na kutaka kuuvunjilia mbali,kwani hata hizo articles of uniun hawakuziandika badala yake walisaini tu.Articles hizo 11 ziliandaliwa na wamarekani na ndio wanaolinda muungano. Yani iko hivi ni bora Wazanzibar wote wafe na wengine waishie Guantanamo lakini muungano haufi kwani unalindwa na Marekani na ni amri ya Vatican.
   
 11. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hiyo VIDEO iko wapi?
   
 12. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mzee sasa naona unapotea! Yani unajifanya hujui kuwa siasa za bara kuikamata Znz ndio kumeleteleza haya mauchafu? Mnalazimisha muungano ili dola ya kiislam isisimame Znz na sheria za kuzuia upumbavu kama huo kutumika. Mnang'ang'ania znz ili uislam usiendelee kwani ukiendelea ukristo hautakuwa na nafasi.
   
 13. c

  chama JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bornvilla
  Hata sisi Tanzania Bara hatuutaki huu muungano hauna manufaa yoyote yale kwa wananchi wa kawaida; hivi mtanzania Bara anayeishi Mvumi anafaidika vipi na huu muungano? Waunguja na Wapemba ndio mnaonufaika; wewe kama kweli ni mzanzibari unajua mnavyofaidika na huu muungano; una upungufu wa hoja historia inaonyesha wazi waislamu na wakristo waliishi pamoja tangu miaka ya 1884.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 14. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  MMJ kumbe ww mpumbavu sana na una roho mbaya hasa kwa wazanzibari.

  wazanzibari wameamka na hizi choko choko za kuwagawa hutofanikiwa si ww wala wenzio uwe ukweli uuje.


  wazanzibari toke asili hadi leo ni mchanganyiko wa watu na makabila mbali mbali. ikiwemo damu ya kiarabu na kimanaga ambayo unataka kuwaaaminisha watu kuwa hawana haki ya kupigania nchi yao


  rais Karume alieondoka mama yake mwarabu, salim Ahmed baba yake mwarabu, Mansour Yussuf Himid aliekuwa mweka hazina wa CCM (kama sikosei zanzibar) ni mwarabu damu ya kiarabu ina haki zanzibar na imo kwenye vyama vyote vya siasa vyenye maslahi zanzibar iwe CCM au CUF hata zamani iwe Hizbu UMMA PARTY au ASP.

  fitna na choko choko zako hazibadili ukweli kuwa wazanzibar wanachotaka ni nchi yao, na wanahisi wanaonewa. sema lugha tu zinatofautiana kutokana na Chama au sehemu aliokuwepo. ndani ya CCM si mara moja wala mbili wazanzibar wanatoa kauli ya kusema kuhusu muungano kutokuwa sawa akiwemo Raza ( ambae ni mhindi), Shamhuna ambae ni mshirazi, mwakilishi Hamza aliekuwa waziri wa nchi, Nassor Moyo mwenye asili ya tanganyika ( lakini ni mzanzibari) aliekuwa waziri wa kwanza wa sheria ya Jamhuri ya muungano. Aboud Jumbe ( aliekuwa rais wa zanzibar na muasisis wa CCM). na wengi wengine wamesema si mara moja juu ya muungano. Pia kwenye CUF na wao si mara moja wala mbili wameshapaza sauti zao kuhusu muungano huu.


  kwa hio hatudanganyiki wala hatugawiki wala hatuondoshwi kwenye pointi muhimu ya kudai haki yetu ambayo mnapambana kwa kila njia kuibana na mnatumia kila hila kutaka kutugawa


  WAZANZIBARI KWA VYOVYOTE HAWARUDI NYUMA HADI TUPATE NCHI YETU
   
 15. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  "...Mimi, Sultani Jamshid bin Abdullah, nafurahi kweli kweli kusikia kuwa Karume kauawa...siku watu wangu watakaponihitaji, bila kusita nitakwenda..." Je wakati ndio umefika na watu wake wanamhitaji? Je UAMUSHO wako kazini kupalilia njia? Je safari hii atasetiriwa na nani? Aliyemsetiri akiikimbia Zanzibar mwaka 1964 na kumwokoa kwenye makucha ya Karume naye hayupo...je safari hii atapokelewa na nani, Jakaya Mrisho Kikwete? Nilikuwa naota tu!
   
 16. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kichwa boga
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wapemba na Waunguja wote walioko bara warudi kwao huko Zanzibar na wa kwetu warudi huku, tumevbikumbatia sana hivi vijamaa halafu vinajifanya kuja juu. Halafu wakitaka kuingia bara wawe na passport kama walivyotufanyia kipindi cha nyuma warudi huko kwao hata sisi Watanganyika hatuwataki wazanzibar vimejazana hapo kariakoo utafikiri utitiri , viondolewe na muungano ufe vipumbavu sana hv
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  naona alikuwa na ndoto ya kurudi-
   
 19. c

  chama JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe ni mtumwa wa asili mbona huwataji wanyamwezi, wanyasa na wamakonde umeng`ang`ania waarabu, jiangalieni rangi ya ngozi zenu ndipo mtakapojua asili yenu.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 20. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mm zi mzanzibari mwenye asili ya akina said washoto ndio babu zangu ila juu ya hili hamtugawi
   
Loading...