Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
HIvi inawezekana kulikuwa na mkono wa Sultani katika mauaji ya Karume?
MM kwenye hiyo mihadhara ya Uamsho wanadai kuna mtu alitambulika kama Mr X wakadai watamtaja karibuni
sasa sijui kama hiyo nafasi itatokea...............! Time will tell.
Mh Mkuu MM, unataka kubadili imani za Wazanizbar kuwa Karume aliuawa na Nyerere! UAMSHO watakuelewa kweli!HIvi inawezekana kulikuwa na mkono wa Sultani katika mauaji ya Karume?
HIvi inawezekana kulikuwa na mkono wa Sultani katika mauaji ya Karume?
Mwanakijiji;
Pekupekua yako kiboko; sasa wale wasiolewa uamsho maana yake nini ndipo watakapojua; nilitegemea jumuiya ya uamsho ingepigania zaidi mambo na misingi ya maisha ya kiisalmu; Zanzibar kuna mambo mengi na mabaya ambayo hayaendani na mafundisho ya kiisalmu kama vile USHOGA uliokithiri; ULEVI uliokithiri na kuruhusu makampuni ya BIA kudhamini michezo kukithiri matumizi ya MADAWA YA KULEVYA badala yake wamejitia kwenye siasa; hapa kuna mkono wa OMAN si bure inawezekana labda hizi fununu za mafuta ndio zinaweza kuwa chanzo unajua OMAN ni waarabu masikini hawana utajiri kama waarabu wengine; huyu sheikh wa uamsho kenda kwenye matibabu Oman; kama angkuwa mgonjwa wa kweli hospital zetu ni India.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Mzee sasa naona unapotea! Yani unajifanya hujui kuwa siasa za bara kuikamata Znz ndio kumeleteleza haya mauchafu? Mnalazimisha muungano ili dola ya kiislam isisimame Znz na sheria za kuzuia upumbavu kama huo kutumika. Mnang'ang'ania znz ili uislam usiendelee kwani ukiendelea ukristo hautakuwa na nafasi.
... I was delighted to hear that Karume was assassinated.... .
.... If my people want me, I'll certainly go...
"...Mimi, Sultani Jamshid bin Abdullah, nafurahi kweli kweli kusikia kuwa Karume kauawa...siku watu wangu watakaponihitaji, bila kusita nitakwenda..." Je wakati ndio umefika na watu wake wanamhitaji? Je UAMUSHO wako kazini kupalilia njia? Je safari hii atasetiriwa na nani? Aliyemsetiri akiikimbia Zanzibar mwaka 1964 na kumwokoa kwenye makucha ya Karume naye hayupo...je safari hii atapokelewa na nani, Jakaya Mrisho Kikwete? Nilikuwa naota tu!
MMJ kumbe ww mpumbavu sana na una roho mbaya hasa kwa wazanzibari.
wazanzibari wameamka na hizi choko choko za kuwagawa hutofanikiwa si ww wala wenzio uwe ukweli uuje.
wazanzibari toke asili hadi leo ni mchanganyiko wa watu na makabila mbali mbali. ikiwemo damu ya kiarabu na kimanaga ambayo unataka kuwaaaminisha watu kuwa hawana haki ya kupigania nchi yao
rais Karume alieondoka mama yake mwarabu, salim Ahmed baba yake mwarabu, Mansour Yussuf Himid aliekuwa mweka hazina wa CCM (kama sikosei zanzibar) ni mwarabu damu ya kiarabu ina haki zanzibar na imo kwenye vyama vyote vya siasa vyenye maslahi zanzibar iwe CCM au CUF hata zamani iwe Hizbu UMMA PARTY au ASP.
fitna na choko choko zako hazibadili ukweli kuwa wazanzibar wanachotaka ni nchi yao, na wanahisi wanaonewa. sema lugha tu zinatofautiana kutokana na Chama au sehemu aliokuwepo. ndani ya CCM si mara moja wala mbili wazanzibar wanatoa kauli ya kusema kuhusu muungano kutokuwa sawa akiwemo Raza ( ambae ni mhindi), Shamhuna ambae ni mshirazi, mwakilishi Hamza aliekuwa waziri wa nchi, Nassor Moyo mwenye asili ya tanganyika ( lakini ni mzanzibari) aliekuwa waziri wa kwanza wa sheria ya Jamhuri ya muungano. Aboud Jumbe ( aliekuwa rais wa zanzibar na muasisis wa CCM). na wengi wengine wamesema si mara moja juu ya muungano. Pia kwenye CUF na wao si mara moja wala mbili wameshapaza sauti zao kuhusu muungano huu.
kwa hio hatudanganyiki wala hatugawiki wala hatuondoshwi kwenye pointi muhimu ya kudai haki yetu ambayo mnapambana kwa kila njia kuibana na mnatumia kila hila kutaka kutugawa
WAZANZIBARI KWA VYOVYOTE HAWARUDI NYUMA HADI TUPATE NCHI YETU