Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.

Acha kuzuga wewe. Kikwete bado anaaminiwa (kwa ushabiki labda) na watanzania wengi tu. Tunajua kwamba hana uwezo wa kuongoza, lakini wananchi watampa kura zao. Sasa badala ya kushirikiana kuonyesha kwamba huyu mtu hatufai at least, and dangerous at most, mwenzetu umekazania "ku-sharpen" mpaka kukata makali yake hiyo rising star-Slaa.

Hapa ndipo ugomvi ulipo. Na hatutaacha kuwajibu vikaragosi wote wa mafisadi-CCM.
 
Reckless in what? I don't see any recklessness in him going out with Josephine.



It will mean absolutely nothing because it is a non-issue that you are trying your hardest to make it an issue.

absolutely right! wenyewe wanasema kutengeneza gharika kwenye kikombe cha chai.
 

Kiranga anapenda ligi sana, ngoja nimtafutie zawadi yake
 
Utadai bilioni, ati mke umeporwa,
Kakuaga hadharani, hakusubiri kuparwa,
Watakucheka watani, umezidiwa hujaporwa,
Mke kukimbia nyumba, si wizi ni kuzidiwa.
hehehehe!
 

You are preaching to the choir hapa. JF ishamtandika Kikwete vibaya sana kiasi kwamba mtu yeyote aliye "camp Kikwete" mpaka sasa ni irredeemably lost, huwezi kumpeleka kwingine kokote.

Ingependeza zaidi kama hizi harakati za kutaka kila mtu aseme mabaya ya Kikwete zingepelekwa huko vijijini ambako kuna watu lukuki hawajui hata EPA ni nini.

Ndiyo maana mimi kwa kujua hapa kuna wafuasi na washabiki wengi wa Slaa / CHADEMA nalenga zaidi kuikosoa CHADEMA ijipange vizuri zaidi.

Sadly, naonekana siitakii mema.

Wagombea ni lazima wapate internal challenges, ili wakifika ku face voters huko wawe washapikika vya kutosha. Ndiyo maana kabla ya mtihani/ interview unaweza kumpa ndugu yako kazi ya kuku quiz on the subject matter. Hiyo yote si katika kuku undermine, ni katika kukutayarisha uwe fit for real world challenges.

Hatuwezi kuendelea kui treat CHADEMA na kid gloves kila siku.
 

Ha ha ha a very good excuse.....

Ndiyo maana mimi kwa kujua hapa kuna wafuasi na washabiki wengi wa Slaa / CHADEMA nalenga zaidi kuikosoa CHADEMA ijipange vizuri zaidi.

Sadly, naonekana siitakii mema.

Si afadhali basi ungekuwa unafanya unachodai kuwa unataka kufanya? Wewe hapa unajaribu kuanzisha sakandali hata pale ambako hakuna ili tu uonekane unaipondea chadema!


Sidhani kama hizo quiz unaendelea kumpa ndugu yako hadi siku ya mtihani... mtihani ndio huu sasa. This is election time, wewe unafanya nini ili kuhakikisha kuwa ndugu yako anashinda? kudai kuwa hafai kabisa hata kufanya huo mtihani?

Hatuwezi kuendelea kui treat CHADEMA na kid gloves kila siku.

No body is asking you to do this Kiranga and you know this better.
You are just creating a controversy out of nothing...absolutely nothing at all.
 
Kiranga Kiranga Kirangaa.......

Naona unataka kuwa kama Nicolaus Copernicus aliyekomaa na Theory kuwa Dunia ni duara.

Wakati huo, dunia nzima iliamini na kuaminishwa kuwa Dunia ni kama Meza (kanisa la Kikatoliki).

Komaa tu Mkuu, ushindi ni wako JF. Naona umeamua kuwa kama 2Pac yaani "You against the world."

Ila kumbuka kuwa pamoja na kumhukumu Slaa wewe na wenzako, Dr. Slaa anawaambia hivi;

1. You can kiss his ..............

2. Kwa kutumia 2Pac pia mwambieni huyo anayejifanya eti ni mume wa mama Josephine kuwa:


Yeah, Dr. Slaa he is Self Made Popular Politician....
 
Last edited by a moderator:

Kiranga mimi na wewe tunakubaliana kabisa.. ila naamini (kama wengine) kwenye hii issue umeihukumu kwa haraka mno na kuweka kipimo kisicho sahihi. Binafsi kuna mengi ambayo nimewasema Chadema na nitaendelea kuwadodosa kwa sababu ni makubwa zaidi. Katika vita kama unavyojua kuna vita ambavyo unachagua kupigana. Vingine ni vya kukupoteza malengo na muda. Binafsi ningefurahi kuona ukielezea udhaifu wa mikakati yao, ilani au maamuzi mbalimbali ambayo yana impact ya moja kwa moja wananchi. Kuchagua hili "kuchukua mke wa mtu" inaonekana wewe mwenyewe umeshuka mno kitu ambacho hakikustahili.

Kosa kubwa ambalo sote tunalifanya hadi hivi sasa na kufikiria kuwa suala hili la mambo ya mapenzi ni kubwa mno kwenye siasa za Tanzania kama lilivyo kwenye baadhi ya siasa za nje (kama US n.k) ambapo tuhuma tu mtu anaweza hata kupoteza nafasi yake. Ninaamini hili linatupa nafasi kama hiyo lakini bado halijafikia mahali pa kuathiri mwelekeo wa uchaguzi au mtazamo wa mgombea. Kwa sababu ukisema "fulani kaondoka na fulani" watu wanaona "tell us something new". Mtu akisema "fulani kazaa nje ya ndoa".. watu wanasema "so what"? So ni kashfa ya familia zaidi kuliko kashfa ya taifa.
 
jamanii eeeh huyu Kiranga hizo sio starehe zake, haya maswala kwake mnapoteza muda tu kwa sababu mwenzenu hajui huwa yanaanzia wapi... Mtu kisha sema hataki kuoa na wala hafikirii atakuja kuoa mjuwe huyu sii ligi yenu - mwacheni...Huyu yuko anga zingine. Labda tumzungumzia huyu Binti Msanii
 

Kiranga haamini pia kwenye hip hop .... lol
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji uko liberal sana kwenye haya mambo ya malavidavi....

Ultimately, the questions here become, does character matter? Do rules apply across the board ? Could these tendencies impede governance ? What attitude and ethos are we cultivating by embracing - if indeed embrace we do - this scandalous pattern ? Can disorderly conduct be excused ? Can we redefine the moral authority of the presidency and lower the bar thus far ? Could public office and platform be used to cover private misdeeds ?

The price of not upholding the threshold of moral outrage is paid out over generations, and with compound interest might I add.

I would like to identify myself with the liberals more than the conservatives, at least socially - fiscally I would go with the conservatives- but this is more than liberal. The Slaa apologists are a shameless fanatic bunch that permeates itself with this dangerous double standard bent on denouncing a conspiracy theory that is rightfully earned.
 
Ultimately, the questions here become, does character matter?

Yes it does!

Do rules apply across the board ?

You betcha.

Could these tendencies impede governance ?

What tendencies?

What attitude and ethos are we cultivating by embracing - if indeed embrace we do - this scandalous pattern?

The only thing scandalous is the frivolous lawsuit filed by the deadbeat husband

Can disorderly conduct be excused ?

No it can't though there is no disorderly conduct here.

Can we redefine the moral authority of the presidency and lower the bar thus far ? Could public office and platform be used to cover private misdeeds?

People are more concerned about kitchen table issues and not personal issues.

The price of not upholding the threshold of moral outrage is paid out over generations, and with compound interest might I add.

A liberal fighting for morals is hilarious.


Dude, you are taking this issue way to far by blowing it out of proportion. It's not that big of a deal.
 

You are truly great thinker!
 
Yaani inashangaza jukwaa limeshushwa hadhi yake ghafla moja kwa watu wazima wanaojiita wasomi, wachambuzi wa masuala tete ya kinchi na jamii...wanatetea uzinzi na uvunjifu wa maadili? pooooooghghgh...!!! pooooghgh...!!! poooooghgh...!!!
 
Yaani inashangaza jukwaa limeshushwa hadhi yake ghafla moja kwa watu wazima wanaojiita wasomi, wachambuzi wa masuala tete ya kinchi na jamii...wanatetea uzinzi na uvunjifu wa maadili? pooooooghghgh...!!! pooooghgh...!!! poooooghgh...!!!

Mi nashangaa hawa Slaa apologists wanavyokuja hapa na kutetea hili.

Our peoples are unsophisticated, watauliza maswali mawili tu kuhusu swala hili.

1. Huyu mwanamke alikuwa kaolewa bado ? Ndiyo
2. Na Slaa alikaa naye kinyumba ? Ndiyo

Jibu watakalolipata hapo ni kwamba Slaa hafai kuwa rais. Our peoples are rather conservative, even to my liking.

Kwa nini Slaa ameji shoot himself in the foot like this ?
 
Sheria ya ndoa (1971) inasema hivi (msisitizo wangu):[/QUOTE]

Hii bado haijampa uhalali yeyote kuishi na mke wa mtu. Mahakama inapotaka kujiridhisha ili itupe kesi kwa kifungu hiki, inatazama kama matendo ya mlalamikaji yamesabibisha mke/mume akimbie. "matendo"hapa yanaweza kuwa ya namna nyingi, makubwa ikiwa ni ukatili (cruelty),kukosa huduma za kifamilia (maintanance) au kukimbia (desertion) n.k...mahakama haijiridhi kwa kuambiwa maneno matupu panataka ushahidi...kwa kawaida yanapotekea mambo hayo katika ndoa hualeta migogoro, ambayo kabla ya mke/mume kwenda mahakamani kutaka, mathalani kutengua ndoa au usuluhishi, lazima apitie katika mabaraza ya usuluhishi, ambayo yakishindwa ndiyo anaweza kwenda mahakamani. Mahakama inapotaka kujiridhisha "matendo" ya malalamikaji kama yamechangia kitendo cha mlalamikiwa, inaangalia hali zote hizo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…