Video: Prof Muhongo adaiwa hela za Escrow

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,331
Wakuu.

Hivi karibuni Prof Muhongo amekutana na nguvu ya umma Musoma mkoani Mara baada ya wananchi kujitokeza huku wakiimba "...tunaka hela zetu...".

Prof Muhongo ni waziri wa nishati na madini ambaye amewekwa kiporo kwenye sakata la ubadhirifu wa fedha za umma kupitia akaunti ya Tageta Escrow yenye ufisadi ambao umeitikisa CCM na nchi mwishoni kwa mwaka 2014.

Hivi karibuni amefanya ziara mkoani Mara ambayo inatafsirika kuwa ni dharau na kejeli kwa wananchi wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla hasa kutokana na kauli za mara kwa mara kuwa nchi inaongozwa kwa misingi ya utawala bora.

Zomea zomea hiyo ni muendelezo wa zomea zomea kadhaa ambapo imefika hatua gari au wafuasi na wanachama wa ccm wamekuwa wakipigiwa kelele za mwizi wanapopita kwenye maeneo mbalimbali wakiwa na sare au bendera za chama.

Angalia video clip uone nguvu ya umma ilivyo jikusanya na kuimba kudai hela zao.

Bofya hapa https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=10204633415888386&id=1024755191&_rdr
 
Hatujaona ilikuwa musoma ya marangu au kishumundu yani wewe na uzee wote huo bado unazungumza uongo we mbugila kweli.
 
Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .

Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.
 
Akubali yaishe arudishe hela yetu!
Kiasi gani wapi inaonyesha kuwa kachukua hela?

Mna kazi mwaka huu mipango yenu ya kifisadi imekwama haina jipya mbele ya wadau wa maendeleo kama muhongo.
 
Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .

Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.

unaemuongelea vibaya namjua....acha uongo...mtoi ni muadilifu na nkweli
 
Mengi na chadema walijua kuwa propaganda zao zitamsukuma jk kufanya uamuzi ambao hauna mashiko usiojali hoja na ukweli kumbe jk akiambiwa huchanganya na zake.
 
Ha ha ha ha ha ha,huo uadilifu wa mtoi umetoka wapi mwambie akueleze bila kukuficha ile ishu inayomhusu yeye na martha dada ambaye ni katibu wa mbunge jimbo la kawe halafu uje kubisha au kusema ukweli.
 
Huo ni ujimbe tosha kwa aliyemweka kiporo. Ajue zama hizi watu wanafikiri kwa kutumia vichwa vyao.
 
CCM ukweli unawauma.Kila mwenye akili anaelewa kuwa fedha za umma zimeliwa na Mi CCM mjepo unamshambulia bure mohamedmtoi ,yeye ni mjumbe tu.Tunasubiria Kiporo kisije kuchacha tupo makini sana kuliko mnavyofikiri.Majibu marahisi ya Escrow yatawapa wakati mgumu 2015.Mjiandae kisaikolojia
 
Hao ni wahuni walioandaliwa na akina Tumbili
 
CCM ukweli unawauma.Kila mwenye akili anaelewa kuwa fedha za umma zimeliwa na Mi CCM mjepo unamshambulia bure mohamedmtoi ,yeye ni mjumbe tu.Tunasubiria Kiporo kisije kuchacha tupo makini sana kuliko mnavyofikiri.Majibu marahisi ya Escrow yatawapa wakati mgumu 2015.Mjiandae kisaikolojia
Mkuu, huyo Mohamed Mtoi alikuwa ni miongoni mwa waliozomea. Mjepo yupo sahihi
 
Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .

Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.

Mkuu.

Unanitolea povu la bure huku umeshupaza misuli ya shingo!

Mimi ni mjumbe tu niliye leta ushahidi wa hiyo video clip, nilidhani ungekasirishwa na ukwapuzi wa fedha za walipa kodi akiwemo bibi yako kule kijijini kwenu kumbe una kasirishwa na mleta video clip?!

Unatokwa na povu kwa mimi kuweka clip hutokwi na povu kwa nini wezi wa mali ya umma wanapigiwa magoti na wanaachwa wakiranda mitaani huku wezi wa kuku wakisotea jela?!

Hizi ndio zile Mh Karume aliziita "...akili za samaki..." akihutubia wajumbe wa ccm Dodoma 2012.
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .

Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.

taarifa mkuu kila mwenye jina linaitwa mohamedi ni waongo wachonganishi ni kwa sabababu wamelichukua jina bila idhini ya mwenyezi mungu
 
Ha ha ha ha ha ha,huo uadilifu wa mtoi umetoka wapi mwambie akueleze bila kukuficha ile ishu inayomhusu yeye na martha dada ambaye ni katibu wa mbunge jimbo la kawe halafu uje kubisha au kusema ukweli.

Ulikuwa unamshikia miguu?
 
Kiasi gani wapi inaonyesha kuwa kachukua hela?

Mna kazi mwaka huu mipango yenu ya kifisadi imekwama haina jipya mbele ya wadau wa maendeleo kama muhongo.

Kha! Huyo mwizi anaezomewa hadharani wewe ndio unamtetea,? au hujaingalia hiyo video. Kama wewe unamuona ni mdau wa maendeleo muajiri kwenye shamba lako.Hatua inayofuata sasa ni kumrushia kinyesi huyo MUONGO wako.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Mengi na chadema walijua kuwa propaganda zao zitamsukuma jk kufanya uamuzi ambao hauna mashiko usiojali hoja na ukweli kumbe jk akiambiwa huchanganya na zake.

Mengi hapati Usingizi juu ya Muhongo yupo tayari hata kuuza ndala zake hadi ahakikishe Mhongo anang'oka, wajanja wa Town wamemgeuza Buzi kila mwenye shida na pesa huenda kwa Mengi kwa Gia ya kumsaidia kumung'oa Mhongo hupata pesa ( kufa kufaana) Vitalu vya Gesi sasa vimemfanya Mengi Apagawe.
 
Back
Top Bottom