minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,313
- 22,320
Yaani hata hujui unachoongea sasa,,, muongo hakutajwa na mengi bungeni,,, na mengi sio mbunge ila bunge ndilo limependekeza Muhongo achukuliwe hatua,, na hiyo tuhuma imefanyiwa kazi PAC,, PAC inatambulika kikatiba na kisheria na PAC imefanya kazi chini ya kiapo, pia kumbuka wajumbe wa hiyo PAC, 90% ni kutoka CCM na wapo mpaka kwenye NEC ya CCM sasa sijui MENGI na ROSTUM wameingiaje hapa??? ROSTUM anamiliki kampuni kubwa ya construction inaitwa CASPIAN na hii ni international company! inafanya kazi na makampuni makubwa duniani kama ACASSIA,PETRA DIAMOND, GOLDEN PRIDE, NA PIA HAWA WALIJENGA DUBAI TOWER,,, Mkuu acha porojo kaa kwenye maada...
Hizo kamati zote Mengi na Mkono walizinunua kupitia kwa Sendeka, Mengi kwa sasa ana mapesa kibao toka kwa Rostam baada ya kumsaidia kukwepa kodi na hayo mapesa yanatumika kumung'oa Muhongo, hizo kampuni za Rostam ni Matunda ya Kagoda EPA , Dowans na hisa za voda, Vitalu vya Gesi tu, ndivyo vimempelekea Mengi kubuni kila mbinu ili Muhongo ang'oke. Sipo nje ya maada kwani nimekupa picha kuwa Mratibu wa hizo Fitna ni Mengi na Mkono.