Pesa za escrow ni dola million 120 tu, na angalau Rugamalila kalipa kodi, Sasa tizama hizi ambazo zilihamishwa kwenda nje pasipo kulipa kodi kwa Msaada wa Regnal Mengi baada ya kupewa Mgao wake, Rostam aliuza Dowans kwa dola million 120 na kisha Serikali ikalipa fidia dola million 100, pia Huyo Huyo Rostam mshirika wa Mengi akauza hisa za Voda kwa Dola million 300 hakulipa kodi, jumla ya Pesa zote ni Dola million 520 ni Pesa nyingi na Laiti kodi ingelipwa Serikali wangepata pesa Nyingi kuliko hata hizo za escrow, Lakini Pesa ambayo ingelipwa Kodi Rostam alimpatia Mengi ili kumaliza Ugonvi wao na kumunyamazisha asitoe Siri, haya yote yamefanyika wakati Muhongo hajawa Waziri. Kwa wale Wanamwona Mengi ni MUNGU sasa waanzie hapa kumjua vyema.