VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

Mmmh, nimeisikiliza hii video hadi Mwisho. Naweza kusema Lipumba amepoteza uhalali wa kuwa mwenyekiti wa CUF. Maana ameonyesha dhahiri kwamba yeye ni kiongozi wa waislam na si watanzania. Kwa msingi huo CUF ni chama cha waislamu.

Mimi si mpenzi wala mfuasi wa CUF lakini nilikuwa na-muheshimu sana Prof Lipumba kutokana na Taaluma yake, lakini kwa haya alioyaongea nimeshamshusha daraja.Hata elimu yake haijaonyesha kumsaidia. Nachoshangaa inakuwaje majukwaa ya IBADA yanageuzwa kuwa sehemu ya SIASA. Halafu huyu ndio anataka apewe NCHI!!!Uharo Mtupu!@%$%%
 
je busara ziko wapi hapa?

Busara ni kutoliangalia suala la UDINI kwa jicho la makengeza na Unafiki.

Kama kweli watanzania sasa hivi tunataka kumaliza UDINI basi tumalize huu UDINI tuliorithi kutoka kwa wakoloni.

Kama tutaendelea kupiga porojo na ngonjera basi tusubiri kuelewana baada ya kupigana vita vya kidini.
 
Hakika katika hili mbunge wa Arusha Mjini mh Godbless Lema anastahili kupongezwa kwa nguvu zote maana yeye ndiye aliyesema Rais Kikwete ni mdini na anao ushahidi wa kuthibitisha hili na katika mazungumzo yake alisema kuna Mwenyekiti wa chama cha upinzani ambaye ameshirikiana na Rais Kikwete sasa ninamshukuru Mungu kwa kuwa uthibitisho wake umewekwa katika mitandao ya kijamii na hatimaye sasa imethibitika CUF ni chama cha CCM na mwenyekiti wake bwana Ibrahimu Lipumba ni mdau mkubwa wa CCM na ametumia mbinu zote za siasa za kidini kuhakikisha Kikwete anakuwa madarakani.

Ninakupongeza sana kamanda Lema kwa uchunguzi wako wa kweli na usio na shaka kabisa ambao umetuthibitishia ya kuwa bwana Lipumba ni CCM damu damu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wakati tukiendelea kumlaumu na kumdharau Prof.Lipumba kwa kuongea ukweli sehemu isiyostahiki(msikitini wakati yeye ni mpiga porojo za kisiasa).

Wana jamvi naomba nisaidieni;Ni busura gani waliyoitumia CHADEMA kumsimamisha Padre kuwa ndio mgombea wao urais na katibu mkuu wa Chama?

Najua ni haki yake kikatiba,lakini sheria bila ya Busara madhara yake ndio haya tunayaona,na siku huyu Padre akiingia Ikulu madhara yatakuwa makubwa zaidi,Anayebisha muda utakuja kutuambia hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kubishana kwa jambo ambalo lipo wazi kabisa.
 
Hakika katika hili mbunge wa Arusha Mjini mh Godbless Lema anastahili kupongezwa kwa nguvu zote maana yeye ndiye aliyesema Rais Kikwete ni mdini na anao ushahidi wa kuthibitisha hili na katika mazungumzo yake alisema kuna Mwenyekiti wa chama cha upinzani ambaye ameshirikiana na Rais Kikwete sasa ninamshukuru Mungu kwa kuwa uthibitisho wake umewekwa katika mitandao ya kijamii na hatimaye sasa imethibitika CUF ni chama cha CCM na mwenyekiti wake bwana Ibrahimu Lipumba ni mdau mkubwa wa CCM na ametumia mbinu zote za siasa za kidini kuhakikisha Kikwete anakuwa madarakani.

Ninakupongeza sana kamanda Lema kwa uchunguzi wako wa kweli na usio na shaka kabisa ambao umetuthibitishia ya kuwa bwana Lipumba ni CCM damu damu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu ondoa makengeza na uangalie upande wa pili wa Shilingi,vinginevyo na wewe ni katuka wale wanaokemea UDINI kinafiki.
 
Fuatilia 2010 Kampeni Za Prof Kuutaka Rais Tz Bara Zilifanywa Katika Mikoa Ipi Na Yenye Sifa Zipi? Hapo Utapata Jibu Kuwa Huyu Jamaa Ni Mdini Asiyefaa Kabisa Kuongoza Nchi! Kweli Kafilisika Sana.
 
Yaani mimate yote anayorusha majukwaani kumbe njaa kaibebea kwenye mfuko wa rambo? hee?

kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa Lipumba ni ccm aisee nilikataa katakata leo hii nimekubali kwa moyo wangu wote kuwa baadhi ya viongozi wetu wa upinzani kama mrema, cheyo na lipumba ni ccm damu damu wanatupotezea muda wetu
 
Lipumba is a semi-illiterate professor, ni aibu the guy is faking the public for the sake of his religion, religious fanatic.
 
ninayo cd moja shehe mmoja akipiga kampeni.msikitini kuwa jk ni mwenzao na amewaahidi mahakama ya kadhi

Okey....Sasa ndugu ili kuiimarisha hii stori,.inabidi ui upload hyo video YOUTUBE na utuwekee LINK hapa JF ili wote tupate hizo nyuuuzii.........
 
Sukuwahi kudhania kama Lipumba anaweza kutoa maneno ya design hii.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ningekuwa Mtatiro ningejiuzulu Nyadhifa Zote Ndani ya CUF.
Pia Ningerudisha Kadi yao ya Uanachama maana Mwenyekiti wa CUF amesmea Kuwa yeye Yupo Kwa ajili ya Maslahi ya Waislam.
Thats to Say, Chama cha CUF Kipo kwa ajli ya Dini ya Kiislam.
Pia nitawashangaa sana kama still Wanachama wote wa CUF (Wa Kristo, including Magdalenna Sakaya) Kama Bado wataendelea Kujiona nao ni Sehemu ya Kutekeleza Mipango michafu ya CUF
My Take
CCM Walipokuja na Propaganda ya CUF kuwa ni Chama cha Kiislam, walikuwa sahihi 100000%

Leo nimetambua sababu ya Prof. Safari kuiama cuf. Nimetambua kwa nini Prof. Safari alitofautiana na Lipumba mnamo mwaka 2010. Na katika hayo yote leo NIMEHESHIMU uamuzi wa Prof. Safari na kuuita uamuzi uliotukuka. Sasa basi sina tena hofu hata CDM wakiamua kumsimamisha kama Raisi wa nchi hii, kwani uamuzi wake ndo umebeba maana halisi ya kitu tunaita MAPINDUZI YA KIZALENDO.
 
Heshima za dhati kabisa kwako Prof. Safari. Umenifundisha uzalendo kwa taifa langu Tanzania. Mola akuzidishie kheri
 
Sad, tumekubali UDINI na USHENZI utugawe kiasi hiki. Sasa hivi Tanzania kuna matatizo ya Waislamu na ya Wakristo na wapagani? Masikini wapo kote bila kujali dini, watoto wetu wamepata ma zero wote, hii UDINI ni mpango wa CCM kutugawa ili kututawala na kujiongezea kura. SHAME ON YOU CCM, NA DAMU IKIWAGIKA NAAM IMESHAMWAGIKA KWA AJILI YA UDINI ITAWALILIA. Ndugu zangu waislamu msidanganywe na akina Lipumba. Adui yenu wa kwanza ni CCM
 
shame on you "Profesa"..na kwa suala la nani muasisi wa udini, Lema need to say no more.
 
Naomba hapo kwenye heading ex spy uweke tahadhari kuwa yeyote anaetaka kufungua hii thread awe na vomit bag mkononi kwani haya maneno ya huyu professor poyoyo yanatia kinyaa, huyu aache siasa akafanye mihadhara ya dini.
 
Mh. Rais, Kikwete, kwa nafasi yake kama Rais na kwa dini yake alikuwa katika nafasi nzuri sana ya kuwasaidia watu wa imani yake- hususan wale walioathirika na madai yasiyo ya msingi yanayosukumwa na inferiority complex iliyowatafuna, ili hatimaye waweze kuuona ukweli.

Yanayonisikitisha:
(1) mh. Rais, Kikwete- kama ilivyo kwa watu wa imani yake- ni muathirika wa dhana dhaifu isiyo na mashiko hata kwa mwendawazimu.
(2) hata wasomi wa kiislam, ambao kwa kweli hatukutarajia wawe wametafunwa na dhana hii dhaifu, wao pia wanamawazo sawasawa na viongozi wao wa kidini wenye elimu dunia finyu( hawa tunapaswa kuwasemehe kwa mtazamo wao wa kipuuzi): ama kwa hakika, dini inaweza ikamfanya mtu akawa chizi pasipo yeye kujitambua. Nitashangaa sana endapo Mtatiro na watu wengine makini wote waliopo CUF watakubali kuendelea kuwa chini ya uenyeketi wa huyu bwana.

HII NI AIBU KUBWA SANA KWAKO LIPUMBA NA KWA WOTE WALIOAMUA KUWA ROYAL KWAKO; AIBU, KUBWA MNO. HIVI, LIPUMBA KAMA UNGELIKUWA HUJAIPATA ELIMU HII YA MAZINGIRA, UNGEKUWAJE???? AIBU KWAKO, KWA FAMILIA YAKO, NA KWA WOTE WALIO ROYAL KWAKO. Kama wasomi wao nao ni waathirika wa dhana hii dhaifu, ni nani basi atakayewaokoa hawa mabwana toka katika lindi hili la inferiority complex????

NILIKUWA NAJIULIZA SANA KUHUSU MAHALI HAWA WATU WA MTWARA, HUKAA NA KUKUBALIANA KUWA SIKU FULANI, WOTE KWA PAMOJA, WAFANYE JAMBO FULANI ILI KUISHINIKIZA SERIKALI KUTEKELEZA MATAKWA YAO, KUMBE SASA NAPATA SABABU KWANINI WALE MABWANA WA MTWARA WALIKUWA SO ORGANIZED KATIKA KUENDESHA MIGOMO NA KILA AINA YA DEMONSTRATION DHIDI YA SERIKALI- HOFU YAO NI KUWA GESI ITAWANUFAISHA WAKRISTO. AIBU KWENU, NA MUNGU ATAWATETEA WAKRISTO DAIMA.

Dr. Slaa anazunguka mikoa mbalimbali kuelimisha raia, alafu mijitu mingine inaenda kuzungumza upuuzi msikitini: aisee, liPUMBA kweli kichwa chako kimejaa PUMBA.
 
Back
Top Bottom