Maharo ndiyo wingi wa 'Uharo'?Instagram inaharibu akili za watu.....mkuu jitahidi kuwa unaujua ukweli utaishi vizuri sana.
Mkuu BAK mbona unamtesa hivyo polepole hahahaha
kudaaadeki!!!!!!! mwenyewe nimeshangaa had kabidi nigoogle kwanza kujiridhisha kwanza na Kile nilichokuwa nakifahamu had nikahisi mi ndo nakosea..... D by D. Yan hata dhana yake haijuiHahahaaaaa....mtu hujui hata maana ya D by D bado unaleta nyodo.
D by D siyo development by devolution chief...ni decentralization by devolution