jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,127
- 1,634
Huu ni ushahidi mwingine tena kwa Ngosha na watanzania wote kuwa Makonda ni Zigo tena mburulaazz Mkubwa !!!!
bula=bila .bashite mwingine huyuNyinyi bula kumtaja Paul Makonda mnahisi hamjafanya siasa kwa siku hiyo.
Bavichaa mnayo matatizo
Yani wameondoa jina lake halali na kuweka jina feki.Mods hamkuutendea haki huu uzi kwa kubadili jina la mhusika kutoka Daudi Bashite kama nilivyoandika na kuweka Paul Makonda. Huyu mtu jina lake si Paul Makonda bali ni Daudi Bashite.
CC: Maxence Melo & Cookie
Hakuna kisichowezekana huyo Bashite lazima angoke apende au asipendeAkili za bashite kam
Asante mkuu kutukumbusha maana wengi hukariri na kuongea mbele ya wasiofahamu. Ni ifuatavyo:-Hahahaaaaa....mti hujui hata maana ya D by D bado unaleta nyodo.
D by D siyo development by devolution chief...ni decentralization by devolution
"Watch it"D by D eti ni Development by Devolution....na alishawahi kusema wauza madawa wanatega GPRS akiwa na maana ya GPS kwenye kuyasafirisha madawa.....Fa fa fa fa fa fa fa
Hahahaha....if you think you have that freedom to comment few words like this....not to that extent"Watch it"
Kaka wengne cc ni chauma lakn hatupendi upuuziChama Cha Demogasia na Malalamiko
WE UNAONA KAFANYA SAHIHI kuongea hizo Pumba? ungekuwa wewe unamsikia mtu wa CHADEMA anaongea hivyo ungesema nini? acha UNAFKINyinyi bula kumtaja Paul Makonda mnahisi hamjafanya siasa kwa siku hiyo.
Bavichaa mnayo matatizo