Kaka bashite kichwa panziNi jambo la hatari sana kwa madaraka makubwa kupewa vijana. Inasikitisha kuona kuwa vijana walioaminiwa kiuongozi hawawi mfano mzuri kwetu tuliosalia. Hakukuwa na haja yoyote kwake kuongea mambo hayo. Kila kiongozi anapaswa kufanya kazi kwani ndicho kipimo pekee cha utendaji wake. Maneno hayajengi wala kupima utendaji kazi
Sishangai uelewa wake wa mambo, hauna tofauti na matokeo yake toka shule ya msingi hadi alipoamua kutumia cheti cha mtu mwingine. Kama hayo ndo majibu alikua anatoa kwenye mitihani ya Civics basi hata yule aliyechora zombie ana afadhali.
Mkuu tuwekee video sisi wengine tuna akaunti JF
fb mbali iwekeni hapa tuitazame