Kwani baada ya ile mechi ambayo Simba walicheza na Yanga mpaka sasa watakuwa wamepoteza point ngapi?Nyati si mchazo Duh, ...
Hii ni Kruger National Park, AK !
Simba mke halafu kaacha mke? Haiwezekani mkuuHata hivo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo...na wahusika wote watafikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika.
Simba huyo kaacha mke na watoto wawili
What's a different between predator and preyWhen a predator become a prey
Tena simba kafa kifo kibaya mno-timu ya wananchiBila shaka wewe ni mwanayanga.. Kila la kheri! 😉😉