Video: Nyati wamkanyaga kanyaga Simba na kumuua

Hata hivo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo...na wahusika wote watafikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika.

Simba huyo kaacha mke na watoto wawili
 
Hata hivo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo...na wahusika wote watafikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika.

Simba huyo kaacha mke na watoto wawili
Simba mke halafu kaacha mke? Haiwezekani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom