Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,812
Tatizo haya ma ccm
mkuu HTC one x ni ya mwaka jana kama sijakosea ila nokia 6 ni ya mwaka huu,htc nawaheshimu kwa ubunifu na sio watu wa kukopi kama samsungSimu ngumu ilikuwa ni htc one x, hii unaweza kuigeuza nyundo ya kugongelea misumari
Nimeicheki NOKA 6, hakuna kitu bora wangefuata UI ya androidmkuu HTC one x ni ya mwaka jana kama sijakosea ila nokia 6 ni ya mwaka huu,htc nawaheshimu kwa ubunifu na sio watu wa kukopi kama samsung
angalia hii simu yao mpya S8 wateja wamelalamika kuwa display yake inachuja na kuwa nyekundu....wateja wameanza kuzirudisha madukan
Yaani umenikumbusha simu yangu ya e71..niliitumia hadi nikachoka.Tatizo ni OS anayotumia kwangu bado hana nafasi, I miss Symbian OS