VIDEO : Nauza uchawi wa kumtumia mtu nyuki

Ha ha ha,kwanini usimpe wa kumtengenezea ela huyo mwenye mke ili astombew
 
Nauza uchawi kwa bei rahisi. Anayekuzingua unamtumia nyuki tu ajijue mwenyewe.

Hasa inafanya kazi kama mtu anachepuka na mtu wako nyuki wanamfuata huko alipo na kumng'ata vibaya sana.

Elfu 50,000 tu nakupa bundle ya mwaka mzima.
View attachment 1167132
Huyu mzee anapatikana wapi Mimi nitanunua hata kwa milioni mbili nimtumie Musiba na Ndugai na yule anayewatuma wang'atwe mpaka kwenye Kengele zao.
 
Enhee niuzie chap kidogo nikamtestie yule babu anaitwa usiku junior sijui mchana junior,,
Anajifanyaga yuko fiti kwenye angle za uchawi,
 
huwezi kuwatuma kwenye pori langu watengeneze asali niuze ili nipate pesa... ?, Faida tutagawana....
 
Nauza uchawi kwa bei rahisi. Anayekuzingua unamtumia nyuki tu ajijue mwenyewe.

Hasa inafanya kazi kama mtu anachepuka na mtu wako nyuki wanamfuata huko alipo na kumng'ata vibaya sana.

Elfu 50,000 tu nakupa bundle ya mwaka mzima.
View attachment 1167132
Nitumie mimi ofisini kwangu nyuki wachache kwanza ndipo nitaamini kuwa uchawi wako ni wa kweli. La sivyo, nitaendelea kuamini kuwa wewe ni tapeli tu, unatumia fursa ya ujinga na umaskini wa watanzania walio wengi.
 
Back
Top Bottom